Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
................................................................siwezi kuelezea sasa hivi ninavyokupenda Tanzania, maana hili sakata la mawaziri ni tamu mno!!! Halafu eti wao wanajifanya hawajui???
Kina nani hao wajifanyao hawajui?
Akina Mkulo,Ngeleja na wenzao!Au huangalii bunge mama?
Unajua ilikuwaje?Kwa hiyo hawajui jinsi gani Ng'anakiduku amefall kwa Tanzania.
Aisee hii kitu naifuatilia kwa undani sana, sikupata tu mtiririko wa mawazo ya jamaa; could be he is too excited!
"Death"Political is a game of ?? Tell me people
Tunaimbwa hip hop msibani? Nilitegemea tuimbe kwaya.
Jukwaa la presha mbona lipo.