100 People Who Are Screwing Up America

100 People Who Are Screwing Up America

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
9780060823832.jpg

download_anime3.gif

Code:
http://rapidshare.com/files/211068971/100.people.who.are.screwing.up.america.pdf

1zd1w1x.gif

Invisible,
Achana na hii list ya huyu taahira anayejifanya kuwa ni conservative; Bernard Godberg.

Hebu tutengeneze list yetu ya watu 100 who are Screwing Up Tanzania?

1.J. M. Kikwete
2. Rostam Azziz
3. Edward Lowassa
4. Chenge

Add yours
 
Mkuu,

Ukisha-download kitabu hiki na kusoma analysis aloifanya mwandishi, basi itakuwa rahisi kwetu kama watanzania kutoa analysis ya watu 100 wanaoi-screw Tanzania. Tutakuwa hatuwatendei haki kuwaandika majina tu bila kutoa maelezo wanai-screw nchi kivipi
 
Mkubwa mbona linagoma kufunguka linatoa meseji The file is damaged
 
Asante Invisible naona PDF yangu ndio ilikuwa kimeo
 
Hakuna haja ya analysis zaidi, wezi wetu tunawajua, ongezea kwenye orodha:- Idris Rashid, Nazir Karamagi, Gray Mgonja,Basil Mramba, Daniel Yona, Peter Noni, Nimrod Mkono, Subash Patel na nyie wengine ongezeni hao majasusi.
 
Nimeianzishia mada
 
Mkuu,

Ukisha-download kitabu hiki na kusoma analysis aloifanya mwandishi, basi itakuwa rahisi kwetu kama watanzania kutoa analysis ya watu 100 wanaoi-screw Tanzania. Tutakuwa hatuwatendei haki kuwaandika majina tu bila kutoa maelezo wanai-screw nchi kivipi

Invisible,
Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani lakini bahati nzuri mimi binafsi nilishamsoma huyu Goldberg na pia kumuona mara kibao nyumbani kwake Fox News akiwakandia Dems. Kimeandikwa vizuri lakini kwa muona mbali ni vigumu kushawishiwa na hoja zake.

List yetu maelezo ya wahusika karibu wote tunayo labda tuyapanue kwa manufaa ya umma.
 
Invisible,

samahani naomba unitumie hiyo pdf kama attachment kwenye: Silas_Paul@cargill.com kwani kwenye site yangu kuna smart filter mzee:

You cannot access the following Web address:
http://rapidshare.com/files/211068971/100.people.who.are.screwing.up.america.pdf

The site you requested is blocked under the following categories: Personal Network Storage
 
Mkuu,

Ukisha-download kitabu hiki na kusoma analysis aloifanya mwandishi, basi itakuwa rahisi kwetu kama watanzania kutoa analysis ya watu 100 wanaoi-screw Tanzania. Tutakuwa hatuwatendei haki kuwaandika majina tu bila kutoa maelezo wanai-screw nchi kivipi

Great without open evidence huwezi weka majina ya watu vile tuu wanakuwa suspects.
Vile pia ujuekuna sheria itachukuwa mkono wake juu ya hili.
😀 invisible
 
Hakuna haja ya analysis zaidi, wezi wetu tunawajua, ongezea kwenye orodha:- Idris Rashid, Nazir Karamagi, Gray Mgonja,Basil Mramba, Daniel Yona, Peter Noni, Nimrod Mkono, Subash Patel na nyie wengine ongezeni hao majasusi.

huyu daniele yona ana sifa gani hapa Tanzania?
 
Mna uhakika au mikakati ya kisiasa na umaarufu wao unawafanya wanakuwa suspects..kama wezi na srewers why are they in power?
 
LEO MWEZI HUU JANUARY UNAISHA MAMBO KUMI(10 ) NILIYOJIFUNZA JANUARY

1. Kumbe waweza shinda njaa bila kufa.

2.Kumbe waweza beba chakula na kwenda nacho kazini.

3. Bila boda, Bila bajaj unaweza tembea na kufika Kazini.

4. Tafadhali nipigie ni huduma ya msingi

5.Nyama ni mbaya kwa Afya yako.

6. Jiko la mkaa linapika chakula kizuri sanaa.

7. Kumbe ukisaga Mahindi yasiyokobolewa yanatoa unga safii
8.Maji ya kuchemsha ni matamu na mazuri sana zaidi ya Dasani.

9. Waweza kula ugali kama kifungua kinywa( breakfast)

10. Ukioga na sabuni ya Kipande, bado utakuwa msafi.
SHIKAMOO JANUARI.
 
Back
Top Bottom