1000 POINTS RECIEVED TODAY

thomas_360

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Posts
1,458
Reaction score
1,432
Nawashukuru wote ambao mmechangia kwa mm kuweza kufikisha point 1000 haikuwa rahisi Ila yote ni kwa sababu ya kuona umuhimu wa kile ninachopost au kucomment!! Thanks again!!!
Unaweza ukachukulia kama ni ujinga Fulani lakini kwangu ni kitu kikubwa!!
 
Mkuu mimi hapo kwenye like nimekuzidi ila trophy point ila kiukweli sielewe huwa zina faida yeyote? Anaejua atujueze kwa faida ya sisi tusiofahamu
 
Hizi ni kama tuzo tu mzee kuonyesha kuwa upo active kiasi gani na watu wanakufuatilia kiasi gani....halafu kuna kitu kinaitwa pride mzee...hivi unajisikiaje pale ww unapost kitu kila siku halafu hakuna hata watu kulike?? Unajua unapoandika kitu halafu MTU amelike nikwamba umemkosha moyoni mwake!!
Mkuu mimi hapo kwenye like nimekuzidi ila trophy point ila kiukweli sielewe huwa zina faida yeyote? Anaejua atujueze kwa faida ya sisi tusiofahamu
 
Mkuu umeamua kubadili I'd ulinisababishia ban ya mwezi huna utu kabisa

Nikitaka nikufanyie umafia na Mimi ila nimekusamehe
Ooh! Eti haikuwa rahisi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…