FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,692
- 4,442
Ni nani huyu mkuu? Id yake ya mwanzo jina lake ni lipi? Mlitofautiana kisa nini?Mkuu umeamua kubadili I'd ulinisababishia ban ya mwezi huna utu kabisa
Nikitaka nikufanyie umafia na Mimi ila nimekusamehe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baada ya hapo unaenda m-pesa, au vipi!
Fikisha like 500 unazawadiwa point 500tangu 2015, mi august like 300 na trophy points 500
Nilikusababishia ban?!! How?
Me mwenyewe nilikula ban ya siku tatu sababu ya mkuyenge
Nn mrembo tena!!!Seriously??[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeandika threads ngapi ama umechangia mara ngapitangu 2015, mi august like 300 na trophy points 500
Kawaida tuYou know it fels
Jf imevamiwa na vitoto, vidhani likes za fb zinafanana na za jf[emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ooh! Eti haikuwa rahisi [emoji23][emoji23][emoji23]
Iseeee hatari sana!!!Kumbe hivi tu? Nilidhani kuna kibunda angalau.View attachment 1204249