Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Serunkuma, Kiongera na Mavugo walikuwa wafungaji viongozi kwenye ligi walizocheza kabla ya kuja Tanzania.Sherehe zinaendelea Azam Xtra Okwi kitajwa kuwa miongoni mwa wachezaji 11 Bora kabsa ktk league ya Uganda!
Wale gongowazi fc wajiandae 5 zileeeeeee zinakuja!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Ukituma video ya magoli nakuachia mke wangu nakupa na hela kuanzia maisha
Na mimi namuongezea Prado na nyumba!Ukituma video ya magoli nakuachia mke wangu nakupa na hela kuanzia maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine ni akina Shaban Mohamed, Geoffrey serunkuma, watega, walusimbi n.k