11 best in Uganda premier league "Okwi" ndani

nkuwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
4,806
Reaction score
5,347
Sherehe zinaendelea Azam Xtra Okwi kitajwa kuwa miongoni mwa wachezaji 11 Bora kabsa ktk league ya Uganda!

Wale gongowazi fc wajiandae 5 zileeeeeee zinakuja!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Wengine ni akina Shaban Mohamed, Geoffrey serunkuma, watega, walusimbi n.k

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Sherehe zinaendelea Azam Xtra Okwi kitajwa kuwa miongoni mwa wachezaji 11 Bora kabsa ktk league ya Uganda!

Wale gongowazi fc wajiandae 5 zileeeeeee zinakuja!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
Hata Serunkuma, Kiongera na Mavugo walikuwa wafungaji viongozi kwenye ligi walizocheza kabla ya kuja Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…