11 Bora Yanga na Simba combine

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
Wadau hapa nimeweka list ya 11 bora combined Yanga na Simba pamoja na reserve list bila ya kujali kama baadhi ya wachezaji ni majeruhi kwa sasa kama Bocco na Boxer.

11 bora
1. Kakolanya
2. Kapombe
3. Shabalala
4. Nyoni
5. Yondani
6. Shishimbi
7. Kahata
8. Chama
9. Kagere
10. Bocco
11. Miraji

11 Reserve
1. Menata
2. Boxer
3. Gadiel
4. Lamine
5. Tairone
6. Mkude
7. Dilunga
8. Shiboob
9. Molinga
10. Balinya
11. Ajib

Wadau list za kwenu zikoje?
 
Manula, kapombe, zimbwe, nyoni, yondani, tshishimbi, miraj, mzamiru, kagere, boko na ibra ajib.
 
umekosea sana yanga mbovu huwezi kutafuta combine yake na Simba labda ungeweka yanga na polisi
 
Nonsense.
Usichanganye vibonde was UD Songe na timu nyingine
 
Mantiki ya Uzi wako ni nini mkuu
 
Hongera naona baada ya kuona combined ya Man u v liverpool basi naww ukaamka kuiga uiweke yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…