11 Wakuachwa Msimbazi

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Sababu mikataba kumalizika na mchango katika timu.

1. Wawa
2. Onyango
3. Bwalya
4. Mugalu
5. Kagere
6. Banda
7. Morrison
8. Nyoni
9. Bocco
10. Gadiel
11. Mzamiru
 
Sababu mikataba kumalizika na mchango katika timu.

1. Wawa
2. Onyango
3. Bwalya
4. Mugalu
5. Kagere
6. Banda
7. Morrison
8. Nyoni
9. Bocco
10. Gadiel
11. Mzamiru
Mmeanza ramli chonganishi
 
Halafu usajiliwe wewe au?
Sababu mikataba kumalizika na mchango katika timu.

1. Wawa
2. Onyango
3. Bwalya
4. Mugalu
5. Kagere
6. Banda
7. Morrison
8. Nyoni
9. Bocco
10. Gadiel
11. Mzamiru
 
Unamrisha watu waachwe wakati hata pesa ya uwanja hujachangia😀🚶
 
Huyu ndengelesi ni mshabiki wa wafuga ng’ombe fc,acha kushobokea timu ya wanaume simba hua haiachi wachezaji wengi kiasi hicho kwa msimu mmoja,wachezaji wakuachwa hapo ni wawa,Onyango,Mugalu,Nyoni na Gadiel tu
 
Watoeni wageni watano pale wawekwe wa hpahapa pesa izunguke hapa hapa bongo yetu

Wachezaji 12 kuchukuwazaid milion 200 kila mwezi hzo pesa Ni nyingi San ifanyike namna pesa zibaki hapa na wachezaji wazawa wapewe kipaumbele

Taifa letu Bado Ni Chang San kuruhus wachezaji 12 wa kigeni Kuja kuchota mamilion hap kwetu

Keny Wal Uganda hawanaga uupuuzi Kama huu Happ na Bado hzo timu zao za taifa hatuziwezi hat wakicheza pungufu watatufunga tu
 
Huyu ndengelesi ni mshabiki wa wafuga ng’ombe fc,acha kushobokea timu ya wanaume simba hua haiachi wachezaji wengi kiasi hicho kwa msimu mmoja,wachezaji wakuachwa hapo ni wawa,Onyango,Mugalu,Nyoni na Gadiel tu
Mkuu jaribu kutumia akili hata kidogo tu.
 
Viwango vyao havipishani sana na wa hapa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…