12 dead after fuel tanker rams matatu in Kakamega

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Ajali hiyo inaripotiwa kutokea jana Ijumaa mchana katika barabara ya Eldoret-Webuye baada ya dereva wa lori la mafuta kupoteza udhibiti wa gari na kugonga daladala

Kamanda wa Usalama barabarani kanda ya Maghribi amethibitisha kuwa lori hilo lilifeli katika mfumo wake wa breki na kugonga daladala hiyo maarufu Matatu nchini Kenya

Matatu hiyo ilikuwa ikitoka Webuye kuelekea Eldoret na iligongwa ikipakiza abiria katika soko la Kakamega huko Kaburengu na lori lilikuwa likitoka Eldoret kuelekea Malaba

Waliojeruhiwa Mama mmoja pamoja na mwanae na Mwanaume mmoja walikimbizwa hospitali
======





Twelve people are reported dead and three others injured after the driver of a fuel tanker lost control and rammed into a matatu on Friday afternoon on the Eldoret-Webuye highway.

Western region traffic commandant Saitera Mwita confirmed that the tanker’s brakes failed causing it to lose control and rammed the Nissan matatu which was picking passengers at the Kaburengu market in Kakamega.

The matatu was from Webuye headed to Eldoret while the tanker was from Eldoret enroute to Malaba.

The injured, a mother, her child and a man were rushed to hospital.

Source: The Citizen
 
Sisi ni dona kantiri .....kwanza tuna koro show za kutosha huko mtwara......Tutazikamua tupate yale mafuta ni dawa...
 
Mungu atunusuru kwenye msimu huu, kwanza mimi hapa nipo safarini siku mbili sasa mizunguko hizi counties za magharibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…