12 Ways To Ruin Sex

halafu nimesahau moja, you withdraw entirely from any form of physical contact until the next time your wife/husband partner is brave enough to initiate it again
ngoja nirecord hzi ????????????????????
 
Usiulize
Usiulize kwa nini Boss huwa anamwambia secretary wake abaki ana kazi za ziada
Usiulize kwa nini boss anampeleka secretary baada ya kumaliza kazi na wakiwa wawili tuu na huwa hawafiki mapema majumbani mwao

muwe mnafafanua kidogo kuwa sio Boss wa jf lol
 
The finest, quickies happens a lot at home,tena kukiwa na wageni sebuleni.life is short dude,lol
Nakumbuka mshua alikuwa anapenda kula lunch home sasa nikajiuliza why was he driving all the way from the office mchana kuja hadi nyumbani kula lunch kwanini asile huko huko kazini.....lol!!!
 

Pamoja na umaimuna wangu dikshenari imenisaidia.Sasa Bw TF naomba nitoe angalizo lifuatalo kipengele kwa kipengele,in numerical order jinsi ulivyo present wewe:
Kuhusu namba:
1.Huyo mwanamke anategemea nini? alikuja kwangu kufanya nini?,kucheza makida?its her duty meeeeeeen!
2.Mimi ni mlinzi makao makuu ya jf,mke wangu mwalimu,nikiingia asubuhi ndo anatoka,inakuwaje? malavidavi yatafanyika daily asubuhi kabla hajaondoka.
3.Ole wako ubadili staili ya midundo,utanieleza nani kakufundisha,ebo!
4.Haya ya kushikana shikana bila mpango maalum ndo nini sasa,kushikana maana yake manU vs Man siti mpira uko uwanjani,kushikana hiyo ni preeee ngoma ianze,vinginevyo mama akae jikoni apike.
5.Nshawambieni humu ndani haya mambo ya nyamnyam ni ya dot.com,mimi na mama Kayai kazi ni moja,ndo nini kulambana,tumekuwa ice cream?
6.Zipu ikinasa nifanye nini?Vibamia vyenyewe mpaka viimbiwe simama dede ndo vitafute kaskazini ni wapi,uhangaike na zipu stimu ikiisha je?
7.Wanawake ndo zao kutuponda,we huwajui? Halafu sio lazima aseme hata kwa kukuangalia tu au kupumua ki namna (a sigh),utajua tu.
8.Jamani minyama ikimvimbia hata pa kushika nisipaone nisiseme,kha!
9.Kasheshe yake uko gesti,kondom umesahau,katikati ya mahanjam cloooooooouds tv wanaweka tangazo la TACAIDS!
10.Kibaya zaidi ndo uko Namnani,katikati ya malavidavi simu nkreee kucheki jina la mpigaji,mama Kayai!du kanonino kanasinyaa.
11.Mkuu saa ingine inabidi iwe bora liende umalize uondoke zako,maana wanawake wengine duuuuu!!!
12. Kwa wale wanaowarukia mahausgeli akimaliza afanye nini sana,si anachurupuka chapchap,au? we TF wewe unataka abambwe?
Hivi jamani Aspirin yupo?
 
Dah.....Bishanga nimecheka kweli kweli
 

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenipa kicheko ya mwaka loh!
 
Za kidot com utaskia 'can we have a late lunch babe, say 3 or 4 pm?'. Ujue tu lunch ikiisha unakimbizwa mbio. Afu una tabia mbaya,stop imagining ur parents,its a tabboo,lol
Nakumbuka mshua alikuwa anapenda kula lunch home sasa nikajiuliza why was he driving all the way from the office mchana kuja hadi nyumbani kula lunch kwanini asile huko huko kazini.....lol!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…