Za kidot com utaskia 'can we have a late lunch babe, say 3 or 4 pm?'. Ujue tu lunch ikiisha unakimbizwa mbio. Afu una tabia mbaya,stop imagining ur parents,its a tabboo,lol
hivi kwa nini tunapenda ku imagine wazazi in a perfect picha????
halafu always tuna wa imagine kwenye 'missionary position' lol
hatupati picha za 'mbuzi kagoma kwenda' au 'kuendesha toroli' na zingine lol
King'asti kumbe unajua ehee...acha tabia mbaya lol!Za kidot com utaskia 'can we have a late lunch babe, say 3 or 4 pm?'. Ujue tu lunch ikiisha unakimbizwa mbio. Afu una tabia mbaya,stop imagining ur parents,its a tabboo,lol
Hahaha! Siku watu wamekuwa wajuvi wa mambo balaaaBoss acha tu....lolhivi kwa nini tunapenda ku imagine wazazi in a perfect picha????
halafu always tuna wa imagine kwenye 'missionary position' lol
hatupati picha za 'mbuzi kagoma kwenda' au 'kuendesha toroli' na zingine lol
Dah.....Bishanga nimecheka kweli kweli
acha kucheka bana,imagine we na Bebii ndo mnakaribia Gilmans point halafu kanokia torch kako kanalia,kucheck namba Husninyo,unafikiri utajisikiaje? Utaendelea kweli?
Gumu kimaandishi? Halafu kesi haijaisha ujue...duh!.... Darasa gumu!
Aisee,nadhani kina haja ya kuammend ile regulation ya infii kuhusu kuweka simu silent. Problem solved,tuendelee
Lol.....Bishanga haufai kabisa ngoja nilog out...hahahahaacha kucheka bana,imagine we na Bebii ndo mnakaribia Gilmans point halafu kanokia torch kako kanalia,kucheck namba Husninyo,unafikiri utajisikiaje? Utaendelea kweli?
Lol.....Bishanga haufai kabisa ngoja nilog out...hahahaha
Gumu kimaandishi? Halafu kesi haijaisha ujue...
AshaDii nimeipenda hii .......kumbe ndo maana aise
Halafu nimesahau moja, you withdraw entirely from any form of physical contact until the next time your wife/husband partner is brave enough to initiate it again
Ahaaaa....kumbe una kadi nilikuwa sijui kama umeishakuwa registeredAisee,nadhani kina haja ya kuammend ile regulation ya infii kuhusu kuweka simu silent. Problem solved,tuendelee
Usinifanyie hivyo Chauro nitakupeleka swimmingwe subiria dawa yako inachemka leo ndio nn kutuletea darasa linaumiza kichwa
Hivi bro yuko wapi kuna maswali nataka nimuulize kuhusiana na hii thread..lolRocky kumbe wee hujwahi tumia hii eeeh?? lol
Hizi sasa ni tabia za kuku.....lol
Hahaha!!! Mara nyingi inakuwa ofisini au kwenye gari...don't ask me further questions lol
Hivi bro yuko wapi kuna maswali nataka nimuulize kuhusiana na hii thread..lol