12 Ways To Ruin Sex

Nilikua wapi mambo yananipita????
Well, number 6 can be a turn on if you keep CERTAIN clothing effects, ex: the watch, the jewelries and... the high heels and stockings... lol

Ok, now that I am in, nini kinaendelea katika thread hii?
 



Roulette bana.... naona umeona uweke na mfano kabisa....lol... Hapa kinachoendelea ni Sex, Sex and Sex....
 
Hakuna kisichochokoneleka bishanga,kawezekana pweza itakuwa infii? Kitaeleweka tu,weeh tulia
shauri lako,kuna watu watakushukia hapa,jf ina mapolisi siku hizi wanachungulia umeandika nini,mi nshaambiwa nimetengewa siti jehanam!
 
RR aisee hiyo picha halafu ujue usiku sasa hivi eheee...lol
 
Watakaponikuta peponi mi ndo naelekeza watu pa kukaa,wataelewa ujanja kupata,lol

shauri lako,kuna watu watakushukia hapa,jf ina mapolisi siku hizi wanachungulia umeandika nini,mi nshaambiwa nimetengewa siti jehanam!
 
Watakaponikuta peponi mi ndo naelekeza watu pa kukaa,wataelewa ujanja kupata,lol

binadamu tuna mambo King'asti!
Actualy bila kuwa na mawazo tofauti na kuruhusu yatawale,jf itakufa.
Humu ndani watu wajifunze tolerance,unakuta mtu anafura povu linamtoka kisa eti mnapromoti uzinzi,strange,hakuna mtu ana promoti uzinzi,all we are doing ni kumsukuma chura kidogo ili aruke vizuri zaidi.
 
Hapa sina chango,hii inaweza kumfaa the finest na the boss
 
Sababu we suppose that kuna watu wanaruhusa ya kusoma hivi vitu na kuvitumia (lovers in general). Ila kama watatumia vibaya sasa hapo sisi hatumo...
 

kwa hii thead hata kwenye mafundisho ya ndoa yapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…