Sababu we suppose that kuna watu wanaruhusa ya kusoma hivi vitu na kuvitumia (lovers in general). Ila kama watatumia vibaya sasa hapo sisi hatumo...
Sababu we suppose that kuna watu wanaruhusa ya kusoma hivi vitu na kuvitumia (lovers in general). Ila kama watatumia vibaya sasa hapo sisi hatumo...
kwa hii thead hata kwenye mafundisho ya ndoa yapo
Kwani huwa unalala usiku wewe?mmmmmhhhh RussianRoulette leo ume side na mimi kwa mara ya kwanza? Ngoja nipate usingizi mnono,siamini!
again,sawa mama.hii kwa aliye ktka ndoa anaruhusiwa kusoma ili umwongezee tips za kuboresha unyumba,but not all content of the thread,kwa asiye ktk mahusiano haimuhusu!
mmmmmhhhh RussianRoulette leo ume side na mimi kwa mara ya kwanza? Ngoja nipate usingizi mnono,siamini!
again,sawa mama.
Hahaha! Kijana umekuwa sasa eeh? Unataka laana ya mshua au?Nakumbuka mshua alikuwa anapenda kula lunch home sasa nikajiuliza why was he driving all the way from the office mchana kuja hadi nyumbani kula lunch kwanini asile huko huko kazini.....lol!!!
kweli sijalala,nipe Bebii niongee naye.Kwani huwa unalala usiku wewe?
Halafu kwanini haujalala hadi sasa hivi?Hahaha! Kijana umekuwa sasa eeh? Unataka laana ya mshua au?
kweli sijalala,nipe Bebii niongee naye.
Nakusubiri wewe! Au leo unalala huko?Halafu kwanini haujalala hadi sasa hivi?
Lol....we bishanga bashaija,the banana man mi sio mama ni kaka mkuu,vp tena? Kwaniavator yangu inaonyesha mi ni mama? Hunioni hapo kati na nilivyo handsome? Au umepata rubusi muda huu
Halafu kwanini haujalala hadi sasa hivi?
Nduu,la gender wala lisikusumbue,ni kitu kidogo tu,man,woman wote ni waja wa Subhana wataal,la msingi jf ni tuwe na fair play.we bishanga bashaija,the banana man mi sio mama ni kaka mkuu,vp tena? Kwaniavator yangu inaonyesha mi ni mama? Hunioni hapo kati na nilivyo handsome? Au umepata rubusi muda huu
Nakusubiri wewe! Au leo unalala huko?
Hahaha!!! Unajifanya haujui eheeeeHahaha! Kijana umekuwa sasa eeh? Unataka laana ya mshua au?
Hakyanani.....lol!!!!!Hizi sasa ni tabia za kuku.....lol