obama
bill clinton
wote ni left handed people
inaaaminika watu wa kushoto wanakuwaga na bahati saana,akilli sana...
na baadhi yao wanakuwaga na magonjwa ya akili
So,yawezekana kabisa kwamba wale watoto wanavochapwa
kulazimishwa kutumia mkono wa kulia kunasababisha kuwapunguzia confidence
Moyo wa binadamu upo upande wa kushoto! Kama tunavyojua, moyo unafanya kazi kubwa sana kwenye mwili wa binadamu!
Kwa watu wengi huu upande huwa weak. Tunashauriwa tusi uoverload upande moyo ulipo!

Ni siku ya watu wanao tumia mkono wa kushoto (mashoto or left handed).

Nakumbuka nirafiki yangu alikua akipigwa sana na mwalimu pale

alipokua anaandika kwa kutumia mkono wa kushoto,au akinyoosha mkono

wa kushoto kujibu swali.

Pia ilinitokea majuzi tu,mtoto wa rafki yangu alipokua anapokea kitu kwa mkono

wa kushoto nilikataa na nikamlazimisha atumie wa kulia,....

Swali ni je:-

1.ni kwanini tunathamini sana kutumia mkono wa kulia (right handed) ?

kwa sababu hamuelewi chochote!
Mimi nilikuwa natumia kushoto kufanya kila kitu alkini kwa muda sasa umepungua nguvu na pia nahisi ganzi kwa mbali,nimeshauriwa kutumia mkono wa kulia zaidi na kufanya mazoezi ya uzito kuweka mambo sawa.Moyo wa binadamu upo upande wa kushoto! Kama tunavyojua, moyo unafanya kazi kubwa sana kwenye mwili wa binadamu!
Kwa watu wengi huu upande huwa weak. Tunashauriwa tusi uoverload upande moyo ulipo!

mimi ni left hand,sister wangu ni left hand,hupata tabu nikitumia mkasi kukata kitu,inanibidi nitumie right hand.