Power jack yake unayo? Maana hizo adapter ili uweze kuitumia either uwe na power jack yake ili ubadili system ya kupokea umeme au uwe na laptop inayofanana.
Kwa bei hio huwezi pata mteja, watu wanauza feni na pasi kwa elf 15 mpaka 10. Hali ni mbaya mbaya kweli kifedha na kibiashara.