13,13......

ustadhijuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
3,021
Reaction score
1,978
Jamaa alikuwa anapita nje ya wodi ya vichaa akasikia mtu anasema, 13, 13, 13, 13, 13, 13,….. akaamua kuchungulia kwenye kitundu alichokiona ajue kuna nini, ile kuchungulia tu akamwagiwa mchanga wa machoni, sauti ikabadili ikaanza 14,14,14,14,14……
 
ina maana jamaa ndio kahesabiwa 14 akija mwingine anakuwa wa 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…