nipo tayari mkuu!wapwazzz,
hii ni sredi maalum kwa yale matukio yote yatakayojiri kabla na baada ya project ya 13 february 2010, u know wat m saying???.
-je mpwazz, unampokea ........... Kua mkeo kwa shida na raha hadi kifo kiwatenganishe??
-je mpwazz uko tayari kuacha kudumisha mila na desturi za mababu??
nipo tayari mkuu!
nipo tayari mkuu wangu!kweli upo tayari?? wewe wataka uulizwe kama mara nne hivi??????
ahahahha
today is 13th-january-2010.
kwangu ni siku muhimu zaidi ya kukumbuka
BABA YANGU MZAZI ALIFARIKI TAREHE NA MWEZI KAMA WA LEO MWAKA 2004
ILIKUWA JUMATANO KAMA YA LEO
ILIKUWA SAA TANO NA DK 20 ASUBUHI
i miss you dad!.....
pamoja!pole sana binamu
today is 13th-january-2010.
kwangu ni siku muhimu zaidi ya kukumbuka
BABA YANGU MZAZI ALIFARIKI TAREHE NA MWEZI KAMA WA LEO MWAKA 2004
ILIKUWA JUMATANO KAMA YA LEO
ILIKUWA SAA TANO NA DK 20 ASUBUHI
i miss you dad!.....
hapa kwenye kuacha kudumisha mila ndio pananitia wasiwasi
with 13th-february-2010 to some people I HAVE BEEN SO HARSH!.....My condolence from the bottom of my heart! R.I.P Geoff's dady! See you there one day!
kweli upo tayari?? wewe wataka uulizwe kama mara nne hivi??????
ahahahha
today is 13th-january-2010.
kwangu ni siku muhimu zaidi ya kukumbuka
BABA YANGU MZAZI ALIFARIKI TAREHE NA MWEZI KAMA WA LEO MWAKA 2004
ILIKUWA JUMATANO KAMA YA LEO
ILIKUWA SAA TANO NA DK 20 ASUBUHI
i miss you dad!.....
with 13th-february-2010 to some people I HAVE BEEN SO HARSH!.....
please forgive me guys
to err is human
I LOVE YOU ALL
THANKS BRO!R.I.P Mzee wetu.......!
wapwazzz,
hii ni sredi maalum kwa yale matukio yote yatakayojiri kabla na baada ya project ya 13 february 2010, u know wat m saying???.
-je mpwazz, unampokea ........... kua mkeo kwa shida na raha hadi kifo kiwatenganishe??
-je mpwazz uko tayari kuacha kudumisha mila na desturi za mababu??
YOU HAVE EXACTLY ONE MONTH TO GO.
i know it's hard for some to say i am sorryWe leo umeamkia upande gani? LOL! Mi nimekusamehe! Ukinikosea tena nakuchapa makofi! Ala!
Michango inatolewa lakini?