13 february 2010

Wakoloni gesti hausi....mzee! hii kitu mnaikimbiza sana.........wazee! si na mabokisi tunashindwa kunata na beats!
NASHUKURU SANA HOMEBOY,
maboksi ni sehemu tu ya maisha
nakushauri sana utunze fedha vizuri,na ukirudi bongo jaribu kuwekeza
kama utakosa uzoefu tuone sisi tufanye kazi na wewe.biashara tuna aidia nazo tunakwama mitaji tu
 
XPIN + VALEUR == CNN 24HRS, au KLM WORLWIDE, kila nchi ina kituo.
 
Actually na prefer kuwa nao 7 ile mahesabu yaende sawa! Hao wanaoongezeka ni replacement ya yule atakayekuwa ameenda kwenye unajimu!
 
wakuu wangu milo kwenye ndoa tayari,tunategemea sana ushauri kutoka kwenu!
tunatishiwa(au pengine ndiyo ukweli) kwamba ndoa ni chungu sana lakini tunashangaa hamtangazi devorce!

MHESHIMIWA CARMEL,X-PIN,NEXT LEVEL,KAIZER naombeni mwongozo tafadhali....!
 
Hehehehe hii pesa nawasi wasi kuna wapwa tunaweza kuwakosa hivi hivi na wengine mahusiano yakafa.
kwakweli kutoka moyoni nisingependa hili litokee.....!
IDUMU BOND YETU YA MARAFIKI/WAPWAAZ/MABINAMU
 
Tukutane tegeta by night. Mi mwongozo huwa nautoa kwa umakini zaidi kama ntakuwa naiangalia chupa ya serengeti ikiwa imejaa bia baridi na mhudumu akiwa ananiuliza: Niweke rosti au niikaushe?
 
Binamu unajua chingereza si lugha yetu hapo maana yake nini Binamu Kizer kwenye red????unanitoa nishai mtu mzima aiseeee

LOL JS.....haya usijali....mi kukutoa nishai siwezi ki ivyo....hehehehehe ni 'noticeably au obviously' , najua unachokoza tu wewe...lol
 
kwakweli kutoka moyoni nisingependa hili litokee.....!
IDUMU BOND YETU YA WANYWA BIA NA WADUMISHA MILA
Well noted! G_P tafadhali hebu ifaili hii kwa matumizi ya kiofisi hapo baadaye!
 
Tukutane tegeta by night. Mi mwongozo huwa nautoa kwa umakini zaidi kama ntakuwa naiangalia chupa ya serengeti ikiwa imejaa bia baridi na mhudumu akiwa ananiuliza: Niweke rosti au niikaushe?
BASI HAINA SHAKA MKUU WANGU!
nimeshainote with so many thannks
nitaijongea altare ya tegeta by night KWASABABU NINAUHITAJI SAANA MWONGOZO....

UBARIKIWE SANA MKUU!
 
Well noted! G_P tafadhali hebu ifaili hii kwa matumizi ya kiofisi hapo baadaye!
hahahaha!
haina shaka mkuu wangu
THE PUMPKIN OF THE HOMESTEAD MUST NOT NOT BE UPROOTED
 
hahahaha!
haina shaka mkuu wangu
THE PUMPKIN OF THE HOMESTEAD MUST NOT NOT BE UPROOTED
Na ile kitu yetu nimeshaibadilisha! Sasa hivi ulanzi unakamata nafasi ya vitochiz!
 
natumia fursa hii kuwakumbushia tu marafiki wote kwamba UNIT IS STRENGTH!itapendeza sana kama tutadumisha umoja huu

kuna raha leo,kuna matatizo kesho!friends will always be THERE FOR YOU
 
natumia fursa hii kuwakumbushia tu marafiki wote kwamba UNIT IS STRENGTH!itapendeza sana kama tutadumisha umoja huu

kuna raha leo,kuna matatizo kesho!friends will always be THERE FOR YOU
Hivi rector wako alikuwa anaitwa nani vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…