sasa HATERS wakiona hivi WANAJENGA BIFU NA WAPWAAZ!...hii dunia ina mambo,ninyi acheni tu!Join Date: Sat Mar 2008
Location: At Any Bar Counter
Posts: 4,565
Thanks: 671
Thanked 1,006 Times in 737 Posts
Rep Power: 31
Re: 13 february 2010
sasa HATERS wakiona hivi WANAJENGA BIFU NA WAPWAAZ!...hii dunia ina mambo,ninyi acheni tu!
kila siku tunaanzishiwa thread humu ndani....!lol
sasa HATERS wakiona hivi WANAJENGA BIFU NA WAPWAAZ!...hii dunia ina mambo,ninyi acheni tu!
kila siku tunaanzishiwa thread humu ndani....!lol
wape verse wapwaaz kwamba ni lazima tujifunze kuwa pamoja,Wao wanachonga si tunasonga mbele,
Videbe watavipiga kwa vyao kiherehere,
Si tunachana leo jana na siku ile,
Wapwaz twashikamana twasonga kivilevile,
mabifu hatuyataki kwa watu wa jinsi ile,
...............
Du, kaka kweli wewe unapenda taarabu, kwani watokea pwani weye?Inahusu! walete walete.....😀
wape verse wapwaaz kwamba ni lazima tujifunze kuwa pamoja,
TWENDE KAZI MC-LEMA..........
ONE TWO ONE TWO..........
YEEEEEAAAAAH!Ulanzi waandaliwa wapwa tumejiandaa,
Tutasonga kwa pamoja kwa kasi kuubugia,
Wo!wo!Wo! kadhalika wapwa tutazivamia,
Mishikaki ya mihaja pilipili na bamia,
Wenye wivu watakoma njiani watakwamia,
Kiongozi niko hima jahazi kulivamia,
Tutachana bia na ulanzi sukumia,
Mshiki atafurahi kuanzisha familia
Hahaha! Ahahaha!
Tutachanachana Makambako itavuma!
Umeme ukikatika wapwa tutapapambia
......
Du, kaka kweli wewe unapenda taarabu, kwani watokea pwani weye?
chuda raha!hehehe, mi nikipenda mambo ya pwani! Pwani raha asikwambie ntu binamu!🙄
YEEEEEAAAAAH!
AHAAAAAA!
YIAAAH!
wee ni baab kubwa au sio wapwaaz?!...x-pin ni bab-kubwa
yeyoooooo!Mi ni bab kuwa hata wao wanajua,
Kama hawajajua bado muda watajua,
Mimi ndie ze pilar hakika wanalijua,
Na kwa upillar wangu hakuna tayepotea
Yeah! Apotee wapi kundini atarudia?
Atarudi kwa upole na heshima tutamtia,
Sisi ni ndugu moja yanini kupotezea,
Malijendi watatamba ushindi watajipea,
Tutasambaratikaje mashujaa wa jukwaa?
Umoja kwetu silaha wapwa tuwe na nia,
Hahahaha! Nacheka huku nalia...?
...................
yeyoooooo!
gimmie mic,huh!
wapwaaaz are the best lyk hardock in th middle east,
wapwaaz gotta the uniques,wapwaaz being the greates
cuz wapwaaz getting the credits,thought haters keep up on diss
u can dis and dis guys though you'll never win to wapwaaz
wapwaaz making the forum,wapwaaz r lyk corner stone
wapwaaz r there for geoff,and geoff s' always for wapwaaz
hahahahahahah!Ngoja niikonsalti TUKI yangu afu nirudi hapa! Umemwaga kiblurei cha kufa mtu hapa!
Mpwa nakuona unajibongoflavisha hapa. Hongera natumai siku ya arusi utatutumbuiza wakati wa maakuli.Mi ni bab kuwa hata wao wanajua,
Kama hawajajua bado muda watajua,
Mimi ndie ze pilar hakika wanalijua,
Na kwa upillar wangu hakuna tayepotea
Yeah! Apotee wapi kundini atarudia?
Atarudi kwa upole na heshima tutamtia,
Sisi ni ndugu moja yanini kupotezea,
Malijendi watatamba ushindi watajipea,
Tutasambaratikaje mashujaa wa jukwaa?
Umoja kwetu silaha wapwa tuwe na nia,
Hahahaha! Nacheka huku nalia...?
...................
hahahaaaaa, nimekupata mamaaa shishi,ahahahah hata maguuest pia??? eh kweli uko mkarimu sana...kwanza mods waweke vibatani vya hug ,kiss na blush etc....kuna post zingine bwana we unawish ungemu hug mwanzilishi ahahahhahahah...hebu wasilisha hili kwa mods. basi tu tunabakia ku blush at the monitor!!!!
YAAH!nimeshamlipia pesa ya studio kwa majani anarekordi paleMpwa nakuona unajibongoflavisha hapa. Hongera natumai siku ya arusi utatutumbuiza wakati wa maakuli.
hahahaaaaa, nimekupata mamaaa shishi,
hebu NIKISS basi japo kwa mbali.