13 february 2010

hahahaaaaa, nimekupata mamaaa shishi,
hebu NIKISS basi japo kwa mbali, mi ndio nilianzisha hii sredi
 
Shishi karibu sana si unaona maadivataizi ya kufa mtu hapa!! Hii siledi imefunga siku!!
 
hahahaaaaa, nimekupata mamaaa shishi,
hebu NIKISS basi japo kwa mbali, mi ndio nilianzisha hii sredi


Kamata flying kiss my dear pumpkin.... si unaona hivi vibatani vinafaa sana tena sana???? MMMwah!
 
Laiti ingekuwa mtu unawezajigongea mwenyewe ...... saa ingine mtu unajipiiiiinda kumwaga vyoint but watu wanakulia bati tu😕
siri moja ya kupata SENKSI nyingi ni kwamba usiwe MCHOYO WA SENKSI!...fuatilia hao watu utagundua sio wachoyo wa senksi...
 
i am expecting to have my wedding mass at 15:00hrs at 13th-feb-2010,PAROKIA YA MAKAMBAKO-IRINGA

....Geoff kumbe wewe ni Makambako line?
Karibu sana kwenye jumuiya ya ndoa, ndoa tamu bana !!!
 
Laiti ingekuwa mtu unawezajigongea mwenyewe ...... saa ingine mtu unajipiiiiinda kumwaga vyoint but watu wanakulia bati tu😕

MJ1 unachkesha wewe hahahah ni asubuhi sana ila nimejikuta naangua kicheko ..u bright ma day !!
 
Nimeisoma Kaka! Usisahau kunipongeza kwa ile kitu ya baridi! Hahaha! Kumbe na mimi lijendi? Basi kuna mamjamaa yakiona hivyo yatachonga wakati sisi tunaendelea kusonga mbele! SENKSI!
watajua wao!SONGA MBELE.....
wapwaaz FOR LIFE
 
watajua wao!SONGA MBELE.....
wapwaaz FOR LIFE

Afu na siku nyingi sana sijakuona ukinywa bia. Umeokoka?
Leo lazima tumtembelee Matron
Au Eliza
Au Halima
Au Aika.
 
Afu na siku nyingi sana sijakuona ukinywa bia. Umeokoka?
Leo lazima tumtembelee Matron
Au Eliza
Au Halima
Au Aika.
HAHAHA!leo matron mkuu
sasa utapita morogoro road
plan yangu ni kuja na mshiki walau umuone akinywa reds
 
HAHAHA!leo matron mkuu
sasa utapita morogoro road
plan yangu ni kuja na mshiki walau umnunulie reds kadhaa
You can Say that Again! Reds atafunguliwa na ankal mwenyewe. Kina Matron wanatakiwa kukaa si pungufu ya nita kumi toka alipo mshiki!
 
You can Say that Again! Reds atafunguliwa na ankal mwenyewe. Kina Matron wanatakiwa kukaa si pungufu ya nita kumi toka alipo mshiki!
hehehehe!more security MORE FLAVOURZ!...MORE BEERS MORE CHICKENS...
MORE AND MORE AND MORE

....counting 29 days
 
Geoff nimefarjika na sapoti unayoipata kijana
Nami ni mmoja wa wanaokusapoti
Pesa na ushauri yote ni muhimu
Usibague hata moja kwani yote yana thamani
Watafika kwenye sherehe na watakaokosa
Wote ni wamoja husimtenge hata mmoja
Maisha si harusi tu kliniki bado mama ataenda
Atakutana na mke wa Nguli, Xpin au Pakajimmy
Watamuazima hepron ya kumbebea mwana

WaJF wote uwashukuru kwani wanastahili pasipo ubaguo
Harusi ni shughuli pevu ila maisha ndo yaliyopevuka zaidi
Husiache kuchukua ushauri kwa waliokwisha onja ndoa
MJ1 yeye hakika anafaa, FL1 kando husimweke
Nguli na Xpin wa muhimu pia, PJ ana busara timilifu
Veracity na Buchanan pia ni mhimili, Sinkala ndoa bado changa
Wengine wengi wapo husikose wao ushauri

Hakuna wa kusikiliza magomvi ya Bw&Bi Geoff
Baraka zote tunaziachilia hadi ukamilifu wa dahari
Mungu umweke mbele kwa kila la familia yako
Busara zikuongoze ujana hukupungue
Mawindo mitaa ya kati upunguze ili furaha idumu

Siku zimewadia punguza presha tukio la kawaida
Nyingi tumeshuhudia tarumbeta hadi tarumbeta
Sindimba, Samba hadi Kiwazenza hadi R”B
Ya kwako wewe itanguliwe na Ulinzi wa Mola
Haya mengine hakika ni ziada na sio ya kiada
Husigharamike hadi kubaki na mikopo kama bodi ya mikopo

Beti hazijakwisha ila muda wa internet umekwisha
Nazidi kukutakia la kheri na ulinzi wa aliye juu
Salama ufike na shughuli ifane Elinino ipite mbali
Fidel, Kaizer mmenikodolea mchango mnauliza
Kwanza nimeanza na huu mwingine hakika utafwata
Siku si nyingi ilo nalitumbau, na wengine wote mlitambue
 
duh!
respect mkuu wangu SIPO
naona hii kitu unaiweza wewe.....
tupo pamoja
muone kaizer au fidel au js just in case ukiwa kwenye position
 
duh!
respect mkuu wangu SIPO
naona hii kitu unaiweza wewe.....
tupo pamoja
muone kaizer au fidel au js just in case ukiwa kwenye position
Pamoja mkuu ni mazingira tu ndio yananyim mjumuiko but together we can make the most of it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…