Ntaongea na Geoff muziki tufungue kwa twisti afu unizungushie hivyo wakati mi nakwangua soli ya kisigino!
special thenksi to SINKALA!he has always been SO SERIOUS WITH MY WEDDING!
love you brother
sherehe ya usiku itafanyika ukumbi unaoitwa MIDTOWN,pale makambako!
sherehe itaanza saa moja jioni
KARIBUNI SANA WAKUU WANGU
rangi ya harusi yangu itakuwa ni maruun na gold...
ooh!Naisubiria spesho SENKSI yangu kabla sijaanza kurimuvu SENKSI zote nilizokugongea!
send-off darHarusi ni Iringa
Send off wapi DSM au Moshi???
Tujipange ipi tutahudhuria
thanks a lotsHongere rangu nzuri
sherehe ya usiku itafanyika ukumbi unaoitwa MIDTOWN,pale makambako!
sherehe itaanza saa moja jioni
KARIBUNI SANA WAKUU WANGU
Hehehe! Wenye wivu wajinyonga jama, wenye wivu wajinyonge! Hiyo red naona umepata blureism attack!ooh!
wewe tena mkuu wangu!?....
I HEREBY GIVE X-PIN A SPESHO THENKS FOR MEING THERE FOR ME.umenipa courage sana
You are not alone brother...!Leo raha sana! Mpaka malijendi leo wanakaribishwa? Padre gani kakuungamisha wewe, nami nikaungame nirudi kundini. Naona kama nimebaki peke yangu!
Hongera rangu nzuri
You are not alone brother...!
pamoja sana
pamoja for life
Ahaa! Hata hivyo umeeleweka ndo maana umegongewa senksi!
unaonaje na disati ikawa makusu?aseee, ULANZI usikosekane bana.
natarajia kurudi dar na wife pamoja na MARAFIKI ZANGU WA JF jumatatu ya tar 15-02-2010.kutoka hapo nitakuwa na mapumziko ya asali ya mwezi huku,nadhani huu ndio muda ambao nitahakikisha ninawaorganize marafiki kwa maana ya kuwashukuru kwa kuwa pamoja
thanks sisy!Pole Geof kwa kifo cha baba. Naamini unatamani angekuwepo kwenye siku yako muhimu.
Kuhusu apology, i believe guys understand the situation you are having right now. Na kwa mpwa yeyote ambaye ni responsible anajua nini cha kufanya bila hata wewe kukumbushia. Do worry, tuko pamoja till the end.
hahaha wewe Iribin wewe mie mbona nimekuona samuwea nikachuna ungeanza kunililia ooh FL1 unanitafuta ,imekuwaje haya bwana
Tusker bariiiiiiiiiiiiiiiiiiidi