13% ya waamerika ni Afro-Americans. Je, ingelikuwa vice versa Afro-Americans wangelikuwa na Racism against whites?

13% ya waamerika ni Afro-Americans. Je, ingelikuwa vice versa Afro-Americans wangelikuwa na Racism against whites?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Just for curiosity, wewe unaonaje kungelikuwa na scenario kama hiyo! 87% ni Weusi na 13% wazungu, je weusi wangeliwabagua wazungu au Racism is not determined by majority numbers?
 
Kwa hali ikoje South Africa? Hali ipo almost sawa na unavyowaza.
 
Ingekuwa Kama huku afrika tu. Mzungu angeabudiwa na marekani ingeongoza kwa umaskini.
 
Kwa hali ikoje South Africa? Hali ipo almost sawa na unavyowaza.
Waafrika walio wengi hawawabagui wazungu, bali wazungu na uchache wao wanawabagua waafrika. Umenipa wazo, Racism determinant factors, among others ni economic status! nadhani hivyo??????
 
Kwani we unaonaje South Africa?
9% ni whites while 2% ni Asian descendants. Lakini blacks wametawaliwa kiichumi na hao wa kuja na hakuna noma yoyote kwa blacks.
 
Kwani we unaonaje South Africa?
9% ni whites while 2% ni Asian descendants. Lakini blacks wametawaliwa kiichumi na hao wa kuja na hakuna noma yoyote kwa blacks.
Lakini wanawabagua weusi ndiyo maana kulikuwa na sehemu weusi hawaendi! Weusi hawawabagui weupe nadhani..
 
Back
Top Bottom