15/10/2022 wanatolewa CAF na kupata jeraha, 16/10/2022 wivu utawaua Simba huyo makundi, 23/10/2022 tunatonesha jeraha!

15/10/2022 wanatolewa CAF na kupata jeraha, 16/10/2022 wivu utawaua Simba huyo makundi, 23/10/2022 tunatonesha jeraha!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Habari ndiyo hiyo! Wazee wa nusu pointi huko CAF kesho kutwa kinanuka! Poleni maana Jumapili ya tarehe 23/10/2022 hakuna jinsi, inabidi tutoneshe tu hicho kidonda toka Sudan!!
 
Nani..? Hawa ndugu zetu wa 0.5. ? Fafanua kidogo
Si hao uto!! Huko caf point walizokusanya ni 0.5 na kwenye msimamo ni wa zaidi ya sabini huko, hata namungo wako juu yao!! halafu wanadanganyana kusonga mbele!! Yule mtu wao anadai: Iwe mvua liwe jua!!
 
Back
Top Bottom