15 Julai, 2021; Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kasi sana na watu wa kada zote

ZWAZWA kweli wewe!!! Kwa kuwa Babaako ana MAWIFI basi unadhani kila mtu 😂😂😂😂 peleka upuuzi wako kwingine!!

ZWAZWA kweli wewe!!! Kwa kuwa Babaako ana MAWIFI basi unadhani kila mtu 😂😂😂😂 peleka upuuzi wako kwingine!!!
Unaejua kuandika sasa...babaako ?? Upuuzi???...unajichekesha kama unapelekewa moto
 
Kwa kuwa babaako anapelekewa moto na akakufundisha na wewe unadhani kila mtu anafanya huo ujinga taahira wewe!? 😂😂😂 wewe nani unizuie kuucheka ujinga wako pimbi wewe!!!

Unaejua kuandika sasa...babaako ?? Upuuzi???...unajichekesha kama unapelekewa moto
 
Hizi siasa zenu za ukanda ni Kansa inalolitavuna Taifa hili
 
Pasi na shaka Utakua unaishi kwa mdingi wako...kila kitu BABAAKO,,,nimekupuuza
 
Kwa hakika wamefilisika kiakili na kimaamuzi. Kuwa wana dola ndio majigambo yao lakini wanatupeleka pabaya.
 
Atakumbukwa kwa mazuri mengi mno! Hizi kodi uchwara hazikuwepo na fedha ilikuwepo na miradi mikubwa iliendesheka!
 
Wamefikiri sawa maana hizo pesa sio za kulipa salary bali zinarudi kwenye mzunguko zikiwa zimeleta tija kuliko tungewaachia hakuna cha maana kingefanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…