Happy Birthday Dada Snowhite! Nina zawadi ya Likungu kutoka ziwa nyasa, upo wapi nikuletee??
Allah akujalie afya njema, maisha ya furaha na huyo shemeji yetu, maisha marefu na Mwenyezi Mungu akutimizie kila hitaji la Moyo wako!!!
Hongera sana kwa siku yako hii njema. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na aibariki familia yako. Akuongezee maisha marefu yenye amani na furaha. Siku zako zikapate kuwa nyingi zenye mapenzi mema kutoka kwa wale wote wakupendao. Heri ya siku yako ya kuzaliwa.
Happy Birthday Mwalimu wangu.
Hongera kwa kufikisha miaka 30!
Mungu yu mwema kwako, mshukuru na mtumikie.
Boflooooooooooo ushanifanya pipi tayari lol!ahahahhahahha asante sana mwaya!ahsante kwa zawadi nzuriView attachment 71227
.........
View attachment 71228
........
oh yeah!and im fighting hard brother!View attachment 71229
.........
oh jamaAAANI!ahsante rafiki yangu!ahsante sana!umeotaje kuwa mie ni mgonjwa wa handabags!tena za muundo huo!lol!