VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
- Thread starter
-
- #21
Show me a Person who does not love I will show you a dead person"He who loves 50 people has 50 woes; he who loves no one has no woes" Gautama.
maneno matamu. Lol!
Umeyanyuzia asali eeeh?
ndugu yangu tena kwenye marriage ndio baya sana hakuna kitu kibaya kama mental and physical abuse...Kabla ya kuchangia ni vizuri iwe clear ni aina gani ya couples zinazozungumziwa - If we are talking of "married couples" ambao wame-exchange "solemn vows" mbele ya Mungu na mbele ya watu kwamba wataishi pamoja kwa shida na raha nadhani hakuna lisilovumilika kati ya hayo
Show me a Person who does not love I will show you a dead person
Is there really a person who loves nobody... he/she might be selfish..., but loving no one I doubt it..
16. Family members, friends and relatives
- Desire to be independent.
- Getting attracted to another person.
- Infidelity.
- Physical incompatibility.
- Less attracted to the person in a sexual way.
- Lack of proper body maintenance, like becoming too fat.
- Conflict in tastes and desires.
- Continuous nagging.
- Comparing the man or woman to others constantly
- Imparting unsolicited advice all the time
- Addiction to alcohol or drugs
- Deterioration in the health of one spouse or suffering from incurable ailments like HIV [kisichovumilika ni tabia ya wanaume kupenda kurudiarudia makosa.
kisichovumilika ni tabia ya wanaume kupenda kurudiarudia makosa.
Inawaangukia wanaume zaidi maana ndio zao!Sitafanya tena..sitarudi nimelewa..mara hili mara lile ila unakuta wanaendeleza tu!Tatizo la kwanza linazaa la pili..LAWAMA!Sasa kama hutaki lawama kua mtendaji na mtimizaji mzuri wa ahadi!hivi hili la kurudia makosa ni la wanaume peke yao? Je wanaume nao wakisema wanawake wanapenda nagging (kulaumulaumu)
MY TAKE...
- Desire to be independent.
- Getting attracted to another person.
- Infidelity.
- Physical incompatibility.
- Less attracted to the person in a sexual way.
- Lack of proper body maintenance, like becoming too fat.
- Conflict in tastes and desires.
- Continuous nagging.
- Comparing the man or woman to others constantly
- Imparting unsolicited advice all the time
- Addiction to alcohol or drugs
- Deterioration in the health of one spouse or suffering from incurable ailments like HIV
- Physical and mental abuse and exhibiting sadistic tendencies
- Ignoring or showing disrespect to friends and relatives of one spouse
- Impotency or inability to bear children.
Mengi hapo juu tunaweza kuyavumilia ...... UVIMILIVU..., thats all needed in Relationship..., Je mnadhani among the above ni kipi hakivumiliki?
hivi hili la kurudia makosa ni la wanaume peke yao? Je wanaume nao wakisema wanawake wanapenda nagging (kulaumulaumu)
sasa ushafanya kosa nimekusamehe ukirudia tena lazima nitalaumu.
Kurudia kosa ni kwa wote ila wanaume wamezidi na visingizio vyao vya shetani kanipitia.
Pamoja na sababu hizi, ukosefu wa mshiko siku hizi unachangia sana!!MY TAKE...
- Desire to be independent.
- Getting attracted to another person.
- Infidelity.
- Physical incompatibility.
- Less attracted to the person in a sexual way.
- Lack of proper body maintenance, like becoming too fat.
- Conflict in tastes and desires.
- Continuous nagging.
- Comparing the man or woman to others constantly
- Imparting unsolicited advice all the time
- Addiction to alcohol or drugs
- Deterioration in the health of one spouse or suffering from incurable ailments like HIV
- Physical and mental abuse and exhibiting sadistic tendencies
- Ignoring or showing disrespect to friends and relatives of one spouse
- Impotency or inability to bear children.
Mengi hapo juu tunaweza kuyavumilia ...... UVIMILIVU..., thats all needed in Relationship..., Je mnadhani among the above ni kipi hakivumiliki?
Hivi we kwanini unapenda kunikatisha nikiongea mbele za watu??Jamani we kila siku unarudi umelewa!Pesa yote unamalizia bar!Ntaacha..ntapunguza na bado anaendeleza kwa speed 120!Huyo malaika asiyefanya kosa na kurudia atatoka wapi? muwe realistic kina dada..
Huyo malaika asiyefanya kosa na kurudia atatoka wapi? muwe realistic kina dada..
Inawaangukia wanaume zaidi maana ndio zao!Sitafanya tena..sitarudi nimelewa..mara hili mara lile ila unakuta wanaendeleza tu!Tatizo la kwanza linazaa la pili..LAWAMA!Sasa kama hutaki lawama kua mtendaji na mtimizaji mzuri wa ahadi!
Ndio inategemea lawama unaweza ukasema kwa maneno machache kwamba mpenzi hapa umekosea, au mwenza wako kama anakupenda akiona umekaa hauna raha am sure atajutia alichofanya na next time hatapenda kukuumiza... lakini sio lawana ndio zinakuwa wimbo... mnaenda chumbani lawama mkiamka lawama mnakunywa chai lawana am sure huyu bwana jioni ataomba muda wa kurudi nyumbani usifike ili asije kuendelea kusikia nyimbo zile zilesasa ushafanya kosa nimekusamehe ukirudia tena lazima nitalaumu.
Kurudia kosa ni kwa wote ila wanaume wamezidi na visingizio vyao vya shetani kanipitia.
kufanya kosa si kosa, kosa ni kurudia kosa
ila kweli, lawama zikizidi nazo ni kero. Malawama yakizidi bora nichape lapa mdogo mdogo.sio lawana ndio zinakuwa wimbo... mnaenda chumbani lawama mkiamka lawama mnakunywa chai lawana