15 Reasons Why Couple Breaks - Up

Nadhani sometimes (e.g. when it comes to infidelity) kufanya kosa ni kosa..... nikirudia maneno yako ya jana kwamba huwezi vumilia infi.

kwangu mimi kosa lolote la kwanza ni mwepesi kusamehe bila kujali uzito wa kosa ila kwa kuangalia sababu zilizosababisha kosa lifanyike.
 
Originally Posted by Horseshoe Arch

Jamani kwa kua sina experience ya kuacha sina neno katika hili...ngoja nizeeke zeeke kwanza!
Je kuachwa??, au ni kipi ambacho mwenzako leo akikileta utamuonesha mlango....,


Mkuu kuachwa offcoz nimeexperience...lakini sababu atakua nazo alonitaliki so far
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…