1500 years Old Bible found in Turkey

Kwa hiyo kwa kusema kauli hii unakubali kwamba yesu ni mwana wa mungu na unaamini maneno yake... Kama ndivyo basi Uislamu ni tawi la ukristo, zote ni kitu kimoja kuanzia leo ingia kanisani usali muda wowote utakaojisikia nami pia nitaingia msikitini kuswali maana sote ni watoto wa baba mmoja... Amani iwe nawe
 
acha uongo mkuu,
 
Hivi ilikuwa vipi yesu alitabiri ujio wa mtume Mohammed kupitia biblia lakini mtume mohammed mwenyewe akaja kuipinga Biblia na kusema uislamu ndiyo dini ya kweli hakuna dini nyingine... Alimkana Yesu kristo ambaye ilibidi aje kumpokea? Ningependa uniwekee sawa hapo mkuu nipate kuelewa zaidi
 
ISAYA anasema '' TAZAMA MWANA KONDOO WA MUNGU , AICHUKUAE DHAMBI YA ULIMWENGU "
hapa kondoo
ni lugha ya Picha anasemwa KRISTO HAPA.
Huo ndio uzushi wenyewe. Hayo maneno ya kupandikizwa. Akili kichwani mwako. Maneno ya Mungu hayawezi kugongana. Huku aseme hivi kule asema kinyume cha alivyosema mwanzo. Mungu ameshasema kuwa kila mtu anabeba dhambi zake, hiyo tosha kabisa. Sasa itakuwaje tena Isaya aseme ya kuwa Yesu abebe dhambi zenu tofauti na maagizo ya Mungu. Hiyo ni fabrication.
 
MBILI MARA MBILI....????
LOG 10 BASE 10.......???
Nayo haya yapo....???
kweli inekamilika
Unaruhusiwa kui challenge Quran. Sheria inakuruhusu. Yaani Mungu amekuruhusu kuichallenge Quran. Amesema isome kicha leta contradiction ndani yake utakayoiona. Au tengeneza kitabu kingine kama hicho kama munaweza. Kwa hiyo NO DOUBT Quran it's absolute.
 
Je kama ni kweli hutataka raha za peponi?? Hayo ni maisha ya milele kaka. Usipoteze kwa ajili ya maisha haya mafupi mno na yasiyokuwa na furaha yoyote. Tafuta ukweli ndani ya imani yako. Na wala usione aibu.
Ila kweli mkuu, maana hakuna starehe tamu kama hiyo
 
Ni kweli mkuu, Ila kwa upande wa majini hapana aseee, bora niangamie Moroni tu
 
hili neno fabrication ndo linaninyima raha kujua, kwa ujumla ulikuwa unamaanisha nini.....????

kwa mtu mmoja dhambi iliingia Ulimwenguni(Adam) na kwa KRISTO ULIMWENGU wote UNAKOMBOLEWA bulaza.
unanielewa kheee....
 
he was crusifised, he died and after 3 days risen among ded,
ALISULUBIWA
AKAFA
AKAZIKWA
SIKU YA 3 AKAFUFUKA kati ya WAFU..

HII NI AMINA NA KWELI.

Lugha za watu hizo jamani, si ungeandika Kiswahili tu.
 
Ptuuuuuuuuuuuuuuuu naona umeamua kumvisha maneno YESU KRISTO sasa......Hapo alimaanisha ROHO MTAKATIFU mkuu.......alafu hebu lete mistari ya hio biblia ya Kiebrania kama hilo jina Ahmed lipo...ingawaje najua hutanipa mstari, utaendelea kuongea ngonjera zako
 
Umeandika nini mkuu??? Hahahahaha daaaah
 
Wewe unaye elewa hiyo lugha si umeona matokea yake ya kuulizana na kujibizana wenyewe. Zaidi ya nusu ya posts unajielezea mwenyewe. Kwa nini kwa Yesu damu ikawa ya mwanadamu?

Na washawsha!
Hilo swali nikuulize wewe unayeamini kuwa Yesu amesulubiwa. Kwanini iwe damu ya Yesu na isiwe ya Kondoo kama Mitume mengine??

Na kama Deuteronomy 15:27 and Psalm 49:7-8 zinasema kuwa kila mmoja atabeba dhambi zake sasa Yesu kasulubiwa kwa sababu gani??

EVIDENCE IN THE BIBLE THAT GOD HEARD JESUS’ PRAYER TO BE SAVED FROM THE CROSS:

“My soul is exceeding sorrowful, even unto death: tarry ye here, and watch with me. And he (Jesus) went a little farther, and fell on his face, and prayed, saying, ‘O my God, if it be possible, let this cup (death) pass from me: nevertheless not as I will, but as thou wilt.” [Matthew 26:38-39]

“And being in anguish, he prayed more earnestly, and his sweat was like drops of blood falling to the ground.” [Luke 22:44]

“(Jesus), Who in the days of his flesh, when he had offered up prayers and supplications with strong crying and tears unto Him (God) that was able to save him from death, and was heard (answered) in that he feared.” [Hebrews 5:7]

“And Jesus saith, for with God all things are possible.” [Mark 10:27]

“For the Scriptures say, ‘He will order his angels to protect and guard you. And they will hold you up with their hands so you won’t even hurt your foot on a stone.’” [Luke 4:10-11]

“For he shall give his angels charge over thee, to keep thee in all thy ways. They shall bear thee up in their hands, lest thou dash thy foot against a stone. Thou shalt tread upon the lion and adder: the young lion and the dragon shalt thou trample under feet. Because he hath set his love upon me, therefore will I deliver him: I will set him on high, because he hath known my name: He shall call upon me, and I will answer him: I will be with him in trouble; I will deliver him, and honor him. With long life will I satisfy him, and show him my salvation.” [Psalm 91:11-16]

There is no question that the emphasized parts above, especially in Psalm 91:11-16 and others, clearly and indisputably agree with the Qur’an and Isaiah 52:13! Jesus was neither crucified nor resurrected, and he was protected and lifted by GOD. Also, the New Testament, again, confirms that Psalm 91 is referring to Jesus.

A. GOD will hear his cries (Psalm 91:15) and will save him (Psalm 91:3).

B. GOD will cover him with His Protection (Psalm 91:4).

C. Christ will then not have any fear in him (Psalm 91:5).

D. Christ will then observe with his own eyes the punishment of the crucified ones (Psalm 91:8).

E. No harm (this includes crucifixion!) or disaster will even come near Christ (Psalm 91:10….this even contradicts him getting beaten up before crucifixion).

F. GOD will send down the Angels to protect him and lift him (Psalm 91:11-12, 14, Isaiah 52:13). Not even his foot will strike the ground from his enemies pushing, grappling and punishment.

G. Christ’s call will be HEARD, and he will be delivered and honored (Psalm 91:15, Isaiah 52:13). No way would these verses be valid if Christ got crucified.
 
Lugha za watu hizo jamani, si ungeandika Kiswahili tu.

na kakiswahili kaka nimeweka lakini...
KILISIMASI ISHAPIGA HODI tena, maneno ya kiingilishi muhimu kidogo.....

vipi kuna sehemu haukunielewa...??
 
Ila mm nashukuru sana Waislamu mnaisoma biblia, najua pia huwa mnahubiriana huko misikitini kwenu...ingawaje Majini huwa hayapendi kusikia habari za biblia
 
jamani vizungu virefu hatari....
sasa kuna sehemu pale YESU anasema hivi MIMI NDIMI NJIA YA KWELI NA UZIMA, MTU HAWEZI KUFIKA KWA BABA ILA KWA MIMI......

HAPA VIPI JAMANI??? AMESULUBIWA / HAJASULUBIWA NI YESU YULEYULE.......NI NJIA NA UO UZIMA NJONI MPITE JAMANI....
 
Hapo nashidwa kukubaliana na wewe kaka. Yeye Mungu mwenyewe kasema aliyekuwa crucified is cursed. Hiyo ni very straight forward statement. Sasa iweje Mjumbe wake kipenzi afanywe hivyo na yeye yupo?? Ndio maana hii issue ya Crucifiction tunasema ni uzushi.

EVIDENCE IN THE BIBLE THAT GOD HEARD JESUS’ PRAYER TO BE SAVED FROM THE CROSS:

“My soul is exceeding sorrowful, even unto death: tarry ye here, and watch with me. And he (Jesus) went a little farther, and fell on his face, and prayed, saying, ‘O my God, if it be possible, let this cup (death) pass from me: nevertheless not as I will, but as thou wilt.” [Matthew 26:38-39]

“And being in anguish, he prayed more earnestly, and his sweat was like drops of blood falling to the ground.” [Luke 22:44]

“(Jesus), Who in the days of his flesh, when he had offered up prayers and supplications with strong crying and tears unto Him (God) that was able to save him from death, and was heard (answered) in that he feared.” [Hebrews 5:7]

“And Jesus saith, for with God all things are possible.” [Mark 10:27]

“For the Scriptures say, ‘He will order his angels to protect and guard you. And they will hold you up with their hands so you won’t even hurt your foot on a stone.’” [Luke 4:10-11]

“For he shall give his angels charge over thee, to keep thee in all thy ways. They shall bear thee up in their hands, lest thou dash thy foot against a stone. Thou shalt tread upon the lion and adder: the young lion and the dragon shalt thou trample under feet. Because he hath set his love upon me, therefore will I deliver him: I will set him on high, because he hath known my name: He shall call upon me, and I will answer him: I will be with him in trouble; I will deliver him, and honor him. With long life will I satisfy him, and show him my salvation.” [Psalm 91:11-16]

There is no question that the emphasized parts above, especially in Psalm 91:11-16 and others, clearly and indisputably agree with the Qur’an and Isaiah 52:13! Jesus was neither crucified nor resurrected, and he was protected and lifted by GOD. Also, the New Testament, again, confirms that Psalm 91 is referring to Jesus.

A. GOD will hear his cries (Psalm 91:15) and will save him (Psalm 91:3).

B. GOD will cover him with His Protection (Psalm 91:4).

C. Christ will then not have any fear in him (Psalm 91:5).

D. Christ will then observe with his own eyes the punishment of the crucified ones (Psalm 91:8).

E. No harm (this includes crucifixion!) or disaster will even come near Christ (Psalm 91:10….this even contradicts him getting beaten up before crucifixion).

F. GOD will send down the Angels to protect him and lift him (Psalm 91:11-12, 14, Isaiah 52:13). Not even his foot will strike the ground from his enemies pushing, grappling and punishment.

G. Christ’s call will be HEARD, and he will be delivered and honored (Psalm 91:15, Isaiah 52:13). No way would these verses be valid if Christ got crucified.
 
Kwa tafsiri ya Biblia sisi wanaadamu wote ni wana wa Mungu. Lakini haina maana katuzaa. Ila nyinyi mumeibadilisha tafsiri na kuifanya Mwana wa Mungu kama vile mtoto aliyezaliwa na Mungu.

Mungu hakuzaa wa hakuzaliwa.
 
Umeandika nini mkuu??? Hahahahaha daaaah
Wanampenda ila ndo hivyo wanadiss kiaina....
watamelewa tuuu,,,,
Sauli alikuwa anawauwa mitume, kusema YESU alikufa , akafufuka.....
watakuwa hawa hadi nguruwe wanakula bhana, siku ikifika watamtangaza kama hiviii leo wanavyofanya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…