15th China-Asean Expo Tanzania Imekaribishwa.

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Kesho ndio maonesho ya kibiashara baina ya nchi za Asia na china yanaanza rasmi. Tanzania ni nchi pekee ya kiafrika imekaribishwa. Haya hapa ndiyo maandalizi ya Tanzania

Wakenya tunawaomba mtuvumilie tu. Huu ni wakati wetu
 
Tanzania imealikwa kama " special partner" na Bendera yetu imesimamishwa pamoja na zile nyingine, ukifuatilia hata kwenye Vyombo vya habari vya kichina utaona imepewa uzito.
 
Kesho ndio maonesho ya kibiashara baina ya nchi za Asia na china yanaanza rasmi. Tanzania ni nchi pekee ya kiafrika imekaribishwa. Haya hapa ndiyo maandalizi ya Tanzania

Wakenya tunawaomba mtuvumilie tu. Huu ni wakati wetu
Wachina tulishawatafuna vya kutosha kwenye FOCAC, pamoja na nyie kuambulia dili la uvuvi wa samaki, hivyo mrudi tu huko na kujaribu kutongoza zaidi, mjaribu kuwa makini msiishie kukenua meno na kutoka kapa kama ilivyo kawaida yenu.
 
Ume quote kwa maumivu makali😂😂😂
 
Kesho ndio maonesho ya kibiashara baina ya nchi za Asia na china yanaanza rasmi. Tanzania ni nchi pekee ya kiafrika imekaribishwa. Haya hapa ndiyo maandalizi ya Tanzania

Wakenya tunawaomba mtuvumilie tu. Huu ni wakati wetu
Tuendelee tu kuvitayarisha vichwa vyetu kwa ajili ya kunyolewa
 
Wachina tulishawatafuna vya kutosha kwenye FOCAC, pamoja na nyie kuambulia dili la uvuvi wa samaki, hivyo mrudi tu huko na kujaribu kutongoza zaidi, mjaribu kuwa makini msiishie kukenua meno na kutoka kapa kama ilivyo kawaida yenu.
Dili kali kali ya 30Km
 
Mwenye wivu ajinyonge sana.....mwenye wivu ajinyongeeee...[emoji23]
 
Ahaaa haaa haaa
mzee wa dili kali kali ya meta 30k.
 
[emoji2] Jamaa anatamani afute maneno yake... ukisema hivyo anatimua vumbi kuelekea kusiko julikana

Ahaaa haaa haaa
wakifikiri China ndiyo dili, KUMBE wenyewe ndiyo wamegeuka na kuwa dili.
Teh teh teh tihiii
 
Mwenye wivu ajinyonge sana.....mwenye wivu ajinyongeeee...[emoji23]

Tuone wivu kwa lipi, hehehe kwa dili ya kuvua dagaa wakati sisi tulimtafuna Mchina akatafunika.
 
China ni nchi kubwa sana, huwezi kuitafuna ukaimaliza. Cha msingi ni kwamba, kama mzinga wa nyuki haupo tena, usitemee kupata asali.
 
Nimesema imetafunika sio kwamba tumeimaliza, bado tutarudi huko, ila mjifunze utoka kwetu jinsi ya kutafuna sio kwenda kucheka na kuzuga na madaftari halafu mnaambulia uvuvi wa dagaa.
 
Mambo moto.
 
Ukizungumzia kuvua samaki pekee, basi hujuwi Tanzania na China na wanafanya biashara gani. Nyinyi kubalini tu, bila kuwapa Mombasa na JKIA hawaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…