16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika: Esperance FC V/S Azam FC 19Apr2016!

Aish Manula amewasaidia Sana Azam wangeshapigwa za kuwatosha kabisa
 
Watapigwa mengi Sana tena wamshukuru Manula
 
Naomba Mungu yanga afungwe hata 50 kama inawezekana..Kila lakheri Azam
 
Wadau acheni porojo.Kwa wenye king'amuzi cha AZAM game ipo laivu ZBC 2.
 
Ha ha ha! Kuna mdau alitoa DUA kali mchana kuhusu products za Azam ikiwemo Azam FC, kisa Azam Tv walimkatia Meya wa jiji kuonekana kwenye runinga. Nadhani atakuwa na furaha sana; Mkuu Shark.
 
dakika ya 54
Esp 1 Azam 0
 
Kama game ikiisha hivi hivi nini kinafuatia kwa Azam?
Jee atakua katoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…