1786 kulikua na shreia na taratibu za kufuata ukichukua chumba Guest House

Kuuuuumbe unaona sasa?? yaani mie niliosoma nao huko woote? hakuna hata mmoja aliwahi shinda kwenda seco. ni mimi tuu! na nilipo kanyaga sec. tu maisha yalikuwa murua sana!! wkt wanafunzi wanagomea msosi niliwalaumu kimoyomoyo sana!

Ok! nikamaliza sec. bana nikaenda chuo cha sirikali maweeee!! yaani nilitamani hata kubaki hapo chuoni maisha yote! yaani maisha swafiiiii!! ever seen before kabisa! tena wanakupa na cha juu!! Loool! nkasema hapa hapa! unakuwa afisa halafu dent!

tatizo lao kubwa bana hapo shuleni!! sana uki fail!! bana wee unarudishwa tuuuu!! tena faster! utake usitake! .... inauma sana unaweza ukanywa sumu!

kila nilipopiga hatua mbele palikuwa ni bora ya zaidi ninakotoka!! kusema kweli nilirudi kijijini lkn siyo kiviiile!..... jamani shule za mbele tamu sana! ni kwa vile watu hawajui tu!
 
Hongera mkuu.

Tunahitaji kujitahidi sana tu kama taifa kuboresha shule zetu na kiwango cha elimu tunayotoa.
 
Ulitaka usome milele? πŸ˜†πŸ˜†
 
Ulitaka usome milele? πŸ˜†πŸ˜†
nilitamani mkuu iwe ivo yaani huko mbele ilikuwa raha sana halafu sikujua ivo nilivo vikuta huko!!
kwanza huchapwi!! sijui kuwahi number, hkna hiyo!!angalia primary sasa mara fyekeo ,sijui jembe,

elimu ya kujitegemea, mara mkalime unachafuka, mara unyeshewe,kufyeka, mara sijui michezo hovyo tu huko michezoni huna hela, daaa! mara umande umetanda njiani mimajani hii, mara matope njiani, kuchotea waalimu maji, kupalilia shamba la kijiji/mwalimu, pekupeku siku zote! vyooo viichafuuuu! af peku! ajabu ya Mungu hatukuwahi ugua minyoo wala surua!

mbaya zaidi shule iko mbali unapiga deshi lunch time, huna hela ya kununua japo kamuwa yaani full shida! halafu hujui kwa nini unasoma ili iweje? yaani tulienda tu kukwepa kazi nzito back home! kama kuchunga ng'ombe ambao huna nao faida bana weee hiii!

Lkn huko mbele hayo yooote ilikuwa ni hadithi za abunuwasi! hata sometimes niliwaza km nikienda home wanaweza badirisha kibao ''wewe kusoma tuu kaa hapa! tulime!..... ilinitisha hii! so nikawa some times naunganisha hukohuko school!
 
hahaha. mwanafunzi anapendelea kubaki shule wakati wa likizo kuliko kurudi nyumbani πŸ˜€πŸ˜€. nilizoea wanafunzi kuangalia kalenda na kuhesabu siku zilizibaki mpaka shuke ifungwe tena, kuanzia wiki ya kwanza ya muhula πŸ˜€πŸ˜€
 
hahaha. mwanafunzi anapendelea kubaki shule wakati wa likizo kuliko kurudi nyumbani πŸ˜€πŸ˜€. nilizoea wanafunzi kuangalia kalenda na kuhesabu siku zilizibaki mpaka shuke ifungwe tena, kuanzia wiki ya kwanza ya muhula πŸ˜€πŸ˜€
yaaani wee acha tu
 
Kweli. Nimeingeza kitu hapo, leo hii ndo nafahamu kuwa neno lofa limetoholew kutoka kingereza loafer
Na Rogue β€”Rogi (mtu laghai/tapeli [emoji1787][emoji1787][emoji1787])
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…