182 wapata mikopo chuo kikuu St Joseph Arusha campus

Dennis002

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
149
Reaction score
52
Chuo cha St Joseph kimebandika majina ya wanafunzi ambao wanaendlea na masomo chuon hapo ktk program ya 5 years degree waliopata mkopo kw mwaka wa masomo 2014/2015 huku idad hyo ikikadiriwa kama robo tatu ya wanafunzi walioomba kupitia heslb...hongereni
 

Inamaan loan board wmeanz kuachia mambo?

Siyo fom four hao ndugu?
 
Hawajaweka kokote labda ufke campus kbs
 
vp wengine kama wa st joseph in taNZANIA, DSM MKOPO LINI?
 
Yah naongelea St Joseph in Tanzania ya dsm cjui
 
kwaio HESLB ishaanza kutoa majina ya wanafunz waliochaguliwa kuingia degree kwa mwaka 2014/15 au labda mim sijaelewa vema ?:A S-eek:
 
ni kweli majina yametoka lakini la kusikitisha majina ya wanachuo waliokuwa wana sup hawakupewa mikopo je tatizo ni nini?
 
Jmn heslb kaz yake nikutoa mikopo tu as long as umeshachaguliwa kwend chuo huska na cvingnevyo
 
ndiyo mkuu nipo hapo

Ok, ebhana kuna dogo lasi kapangiwa hapo Bachelor of ed with physics, vp unaweza ukanipata access ya hayo majina na kumwangalia dogo kama kapata mkopo tafadhal?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…