1875 Waitwa usaili wa POLICE.....FORM IV A & VI A.....

1875 Waitwa usaili wa POLICE.....FORM IV A & VI A.....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
jeshi la police limewaita vijana kwa idadi tajwa hapo juu kuhudhuria kwenye usaili kama ratiba zinavyo onyesha kwenye matangazo yao.
SOURCE-NIPASHE LA JANA .
 
Ahsante ila huko police hakuna maslahi,undugunizationkwenye kupanda vyeo
 
Aiseee baba yangu ngoja nikapate mafunzo ya kijasusi jeshini ili 2015 niweze kukabiliana na magamba
 
Nendeni mje kutugeuka baada ya cdm kushinda mtupige mabomu
 
  • Thanks
Reactions: UKI
ndio hivyo hakuna mtu atapitia file lako,ni vimemo tu vinatembea
 
Back
Top Bottom