zubedayo_mchuzi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2011 Posts 4,873 Reaction score 1,217 Aug 16, 2012 #1 jeshi la police limewaita vijana kwa idadi tajwa hapo juu kuhudhuria kwenye usaili kama ratiba zinavyo onyesha kwenye matangazo yao. SOURCE-NIPASHE LA JANA .
jeshi la police limewaita vijana kwa idadi tajwa hapo juu kuhudhuria kwenye usaili kama ratiba zinavyo onyesha kwenye matangazo yao. SOURCE-NIPASHE LA JANA .
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 582 Aug 16, 2012 #2 Ahsante ila huko police hakuna maslahi,undugunizationkwenye kupanda vyeo
MATESLAA JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,246 Reaction score 75 Aug 16, 2012 #3 Aiseee baba yangu ngoja nikapate mafunzo ya kijasusi jeshini ili 2015 niweze kukabiliana na magamba
M Mapujds JF-Expert Member Joined May 12, 2011 Posts 1,286 Reaction score 128 Aug 16, 2012 #4 Nendeni mje kutugeuka baada ya cdm kushinda mtupige mabomu
A anno Member Joined Sep 28, 2011 Posts 55 Reaction score 8 Aug 17, 2012 #5 kama humjui mtu huko utalinda bank mpaka basi,,,,,,,,
lukunij Member Joined Jul 4, 2012 Posts 36 Reaction score 7 Aug 17, 2012 #6 ndio hivyo hakuna mtu atapitia file lako,ni vimemo tu vinatembea