Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ethiopia haikutawaliwa maana ethiopia chini ya utawala wa haile Selassie walivamiwa na waitaly chini ya Benito Mussolin lakini waethiopia walifanikiwa kuipiga Italy ndio maana Ethiopia haikutawaliwa na wakoloniIna maana Ethiopia Haikutawaliwa ila Eritrea ilikaliwa na Mtaliani