1884 wazungu waligawana bara la Afrika kama vipande vya pizza

Ina maana Ethiopia Haikutawaliwa ila Eritrea ilikaliwa na Mtaliani
 
Sababu sisi tulikuwa gizani iweje wao wachache waliweza kututawala wengu
 
Zanzibar Islands are not indicated on the map. Were they not part of the territories divided during the Berlin conference of 1884/1885?
 
Ina maana Ethiopia Haikutawaliwa ila Eritrea ilikaliwa na Mtaliani
Ethiopia haikutawaliwa maana ethiopia chini ya utawala wa haile Selassie walivamiwa na waitaly chini ya Benito Mussolin lakini waethiopia walifanikiwa kuipiga Italy ndio maana Ethiopia haikutawaliwa na wakoloni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…