Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ya kusoma vijana wa huko hayakua yakifanyika pwani,Bali bukoba na kwinginekoKuuliza tu, je hiyo sekondari bado ipo?
Vipi perfomance yake? Ni akina nani wanakumbukwa kusoma pale.
Pengine hii ilikuwa maalum kwamba wasome vijana wa huko ili wapeleke maendeleo kwao.
Nimesoma hapo A-level, shule iko vzr sanaKuuliza tu, je hiyo sekondari bado ipo?
Vipi perfomance yake? Ni akina nani wanakumbukwa kusoma pale.
Pengine hii ilikuwa maalum kwamba wasome vijana wa huko ili wapeleke maendeleo kwao.
Ni ya serikali kwa sasahivi. Nimesoma hapo.Mzee wangu Mohammed Said aje atueleze kama Nyerere aliitaifisha au aliiacha
Shule ipo mpaka leo, ipo o level na a level mchanganyiko, ipo lindi mjinKuuliza tu, je hiyo sekondari bado ipo?
Vipi perfomance yake? Ni akina nani wanakumbukwa kusoma pale.
Pengine hii ilikuwa maalum kwamba wasome vijana wa huko ili wapeleke maendeleo kwao.
Dr Abbas Kumpanga wa DuceNimesoma hapo A-level, shule iko vzr sana
Nilipiga form five hapo.Adv.Emmanuel Mugambira (Muga) alisoma hapo piaShule ipo mpaka leo, ipo o level na a level mchanganyiko, ipo lindi mjin
Lindi Sec bado ipo sana na performance yake ni nzuri especially advanced level, shule hii ipo Lindi mjini jirani na hospitali ya mkoa Sokoine au ofisi za mamlaka ya maji LUWASA. Mwaka 2016 ilipata ajali ya moto lakini sasa imekarabatiwa iko vizuriKuuliza tu, je hiyo sekondari bado ipo?
Vipi perfomance yake? Ni akina nani wanakumbukwa kusoma pale.
Pengine hii ilikuwa maalum kwamba wasome vijana wa huko ili wapeleke maendeleo kwao.
Kuna jamaa aliniambi kwamba alumni walichangia ukarabati.Lindi Sec bado ipo sana na performance yake ni nzuri especially advanced level, shule hii ipo Lindi mjini jirani na hospitali ya mkoa Sokoine au ofisi za mamlaka ya maji LUWASA. Mwaka 2016 ilipata ajali ya moto lakini sasa imekarabatiwa iko vizuri
Yeah ni kweli, ila na taasis mbali mbali zilizopo mkoa wa Lindi walichangia, pia mkuu wa mkoa aliitisha fund raising campaign kwa ajili ya ukarabati wa shuleKuna jamaa aliniambi kwamba alumni walichangia ukarabati.
Safi Sana.Yeah ni kweli, ila na taasis mbali mbali zilizopo mkoa wa Lindi walichangia, pia mkuu wa mkoa aliitisha fund raising campaign kwa ajili ya ukarabati wa shule
We unaona kabisa shule ilikuwa inaitwa Government Indian Secondary School... sasa kwa akili yako hiyo shule ilijengwa kwa ajili ya wenyeji?!Hayo ya kusoma vijana wa huko hayakua yakifanyika pwani,Bali bukoba na kwingineko
Kagera palikua na shule wakisoma wahaya tu,kichwele ya dar ikijazwa na watu toka songea na mbinga,utaifishaji ulizuwia watu binafsi jumuiya za "kidini" kuwa na shule,isipokua shule za "misheni" kadhaa ziliachwa kwa wenyewe,ukiruhusu shule binafsi akina wale walikua na hela,wangesomeshsna hata bure,akifika sekondari ungembagua vipi kwenye ajira kipindi kile!?..tutajizatiti vipi "kimamlaka"!?...,Waziri wa elimu wa Imani ile anatokea miaka 27 baadae,wizara ya elimu ni damba letu na wengi wanafaulu ni sisi,japo wale wapo wengi tu shule ya msingi,hata shule za pwani!!..hapo padri kishakua Waziri wa elimuNa wewe tumia akili! Shule ilikuwa inaitwa Government Indian Secondary School... sasa kwa akili yako hiyo shule ilijengwa kwa ajili ya wenyeji?!
Hii shule naifahamu, na ya msingi sifahamu zamani ilikuwa inaitwaje lakini siku hizi inaitwa Stadium Primary School! Hata ya msingi ilikuwa imejaa Wahindi!!!
Badala ya kushukuru kwamba huko mnakujiona wasomi sana Wamisionari waliwajengea mashule, ndo mnadhani kila mahali walipata hiyo bahati lakini wakiacha "kwa sababu watu wa pwani hawapendi kusoma"
Lakini hata zilipokuja kutaifishwa manake ni nini?!
Zikaanza kutoa fursa kwa watoto ambao wazazi wao HAWAKUSOMA, na kwahiyo hata huo umuhimu wenyewe wa elimu hawakuuona!! Hii inakuja kuwa tofauti na watoto ambao walipata bahati wazazi wao walisoma kwenye shule za misionari!
Na hilo lipo apparently hadi kesho! Hivi kule Umasaini na maeneo mengine ya wafugaji si hadi kesho watoto kwenda shule inakuwa mbinde?! Kwanini isiwe mbinge wakati wazazi wao hawakwenda shule? Au na kwenyewe ni pwani?!