Pre GE2025 1977 CCM ilikuwaga ni sehemu ya Dola sina uhakika kama 1992 Mfumo wa Vyama Vingi uliiondoa kwa sababu Usajili wa CCM ni wa 1977 Sawa na Katiba ya JMT

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kulikuwa na CCM, halafu CCM wakasema na tusiwe peke yetu bali na tufanye vyama vinhine vya kufanana na sisi...

Wakafanya hivyo vyama vingine, wakaviita vyama vya upinzani...
 
Na ndio maana tunakiita chama-dola. Dola haiwezi tenganishwa na chama. Chama ni chetu na sisi ndio dola.
Rejea nukuu hizi:
1. Serikali ni yetu, polisi ni yetu; mahakama na magereza ni vyetu-ukizingua polisi itakakumata na kukupeleka mahakamani kisha gerezani kama hujui mtafute padri mstaafu
2. Kauli iliyompokonya nape uwaziri
3. (wapinzani) Wapigwe tu ...
 
Nimeona wengi mnadhani si Sawa DOLA kuingilia Kati na kuzuia No Reforms no Election

Ndio nawauliza mmeisoma vizuri Sheria ya vyama Vingi na kujiridhisha CCM siyo sehemu ya Dola?

Nimekaa pale 🐼😄
Kuna wengi hawajui,wanadhani CCM ni chama tuu cha siasa,CCM ilipozaliwa ile 77,katiba ya CCM,ndio katiba ya JMT ya 1977,enzi hizo za chama kimoja,CCM ndio ilikuwa supremacy kuongoza Dola,hivyo CCM
ni chama dola。

Tulipoingia mfumo wa vyama vingi,tulibadili katiba cosmetics tuu kwa kubadili ku replace neno chama kimoja,into vyama vingi,lakini katiba ni ile ile ya chama kimoja,CCM bado ni chama dola ni dola!mwenyekiti wa CCM ni rais wa nchi,mkuu wa serikali na CinC!。There is no any dividing line between mwenyekiti wa CCM na mkuu wa nchi,mkuu wa serikali,na CinC,is the one and the same person!CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
 
Inasemekana ccm kama chama hakina usajiri ,mwambie mzee Mgaya atoe no ya usajiri wa chama ichi vinginevyo mzee Mgaya atakua tapeli ndani ya ccm na nchi

Bila no ya usajili wa chama cha ccm ,machawa mtapata tabu sana
 
Kitasajiliwa baada ya waliopigania Uhuru Wote kuondoka Siasani naturally 😃
 
Kumbe kwa sasa hakina usajiri mkuu? Umemuuliza mzee Mgaya kwanza, kama hakina usajili maana yake viongozi wote waliopitia chama ichi ni batili, sisemi mengi kwanza nataka majibu ya mzee Mgaya anasemaje
 
Nimekwambia CCM ilisajiliwa 1977

Mbona una Ubongo teketeke sana? 😃
 
Nimekwambia CCM ilisajiliwa 1977

Mbona una Ubongo teketeke sana? 😃
Leta no ya usajili hapa ,hakuna janja janja hapa, safari hii machawa mtajua hamjui, zimekuepo tetesi ya ccm kutokua na usajiri, nyie machawa leteni no ya usajili wa ccm kabla ya kuwashughulikia vilivyo
 
Namba 1
 
Kuna wengi hawajui,wanadhani CCM ni chama tuu cha siasa,CCM ilipozaliwa ile 77,katiba ya CCM,ndio katiba ya JMT ya 1977,enzi hizo za chama kimoja,CCM ndio ilikuwa supremacy kuongoza Dola,hivyo CCM
ni chama dola。

Tulipoingia mfumo wa vyama vingi,tulibadili katiba cosmetics tuu kwa kubadili ku replace neno chama kimoja,into vyama vingi,lakini katiba ni ile ile ya chama kimoja,CCM bado ni chama dola ni dola!mwenyekiti wa CCM ni rais wa nchi,mkuu wa serikali na CinC!。There is no any dividing line between mwenyekiti wa CCM na mkuu wa nchi,mkuu wa serikali,na CinC,is the one and the same person!CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
Nini ushauri wako hapo..
Maana naona unajikanyaga mwenyewe...jana ulikuja na bandiko vyama vya Upinzani vina hali ngumu! Je hili haukuliona na ukakurupuka kuja na bandiko. Bila katiba imara hawa CCM watatupeleka mbio sana.
 
Wanasheria mlio tiyari nataka iburuza mahakamani ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kuleta no ya usajiri wa chama cha ccm mbele ya mahakama tukufu, safari hii tutaelewana
 
Back
Top Bottom