johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna wengi hawajui,wanadhani CCM ni chama tuu cha siasa,CCM ilipozaliwa ile 77,katiba ya CCM,ndio katiba ya JMT ya 1977,enzi hizo za chama kimoja,CCM ndio ilikuwa supremacy kuongoza Dola,hivyo CCMNimeona wengi mnadhani si Sawa DOLA kuingilia Kati na kuzuia No Reforms no Election
Ndio nawauliza mmeisoma vizuri Sheria ya vyama Vingi na kujiridhisha CCM siyo sehemu ya Dola?
Nimekaa pale 🐼😄
Inasemekana ccm kama chama hakina usajiri ,mwambie mzee Mgaya atoe no ya usajiri wa chama ichi vinginevyo mzee Mgaya atakua tapeli ndani ya ccm na nchiNimeona wengi mnadhani si Sawa DOLA kuingilia Kati na kuzuia No Reforms no Election
Ndio nawauliza mmeisoma vizuri Sheria ya vyama Vingi na kujiridhisha CCM siyo sehemu ya Dola?
Nimekaa pale 🐼😄
Kitasajiliwa baada ya waliopigania Uhuru Wote kuondoka Siasani naturally 😃Inasemekana ccm kama chama hakina usajiri ,mwambie mzee Mgaya atoe no ya usajiri wa chama ichi vinginevyo mzee Mgaya atakua tapeli ndani ya ccm na nchi
Bila no ya usajili wa chama cha ccm ,machawa mtapata tabu sana
Kumbe kwa sasa hakina usajiri mkuu? Umemuuliza mzee Mgaya kwanza, kama hakina usajili maana yake viongozi wote waliopitia chama ichi ni batili, sisemi mengi kwanza nataka majibu ya mzee Mgaya anasemajeKitasajiliwa baada ya waliopigania Uhuru Wote kuondoka Siasani naturally 😃
Nimekwambia CCM ilisajiliwa 1977Kumbe kwa sasa hakina usajiri mkuu? Umemuuliza mzee Mgaya kwanza, kama hakina usajili maana yake viongozi wote waliopitia chama ichi ni batili, sisemi mengi kwanza nataka majibu ya mzee Mgaya anasemaje
Leta no ya usajili hapa ,hakuna janja janja hapa, safari hii machawa mtajua hamjui, zimekuepo tetesi ya ccm kutokua na usajiri, nyie machawa leteni no ya usajili wa ccm kabla ya kuwashughulikia vilivyoNimekwambia CCM ilisajiliwa 1977
Mbona una Ubongo teketeke sana? 😃
Namba 1Leta no ya usajili hapa ,hakuna janja janja hapa, safari hii machawa mtajua hamjui, zimekuepo tetesi ya ccm kutokua na usajiri, nyie machawa leteni no ya usajili wa ccm kabla ya kuwashughulikia vilivyo
No 1 ndo usajiri ?Namba 1
Nini ushauri wako hapo..Kuna wengi hawajui,wanadhani CCM ni chama tuu cha siasa,CCM ilipozaliwa ile 77,katiba ya CCM,ndio katiba ya JMT ya 1977,enzi hizo za chama kimoja,CCM ndio ilikuwa supremacy kuongoza Dola,hivyo CCM
ni chama dola。
Tulipoingia mfumo wa vyama vingi,tulibadili katiba cosmetics tuu kwa kubadili ku replace neno chama kimoja,into vyama vingi,lakini katiba ni ile ile ya chama kimoja,CCM bado ni chama dola ni dola!mwenyekiti wa CCM ni rais wa nchi,mkuu wa serikali na CinC!。There is no any dividing line between mwenyekiti wa CCM na mkuu wa nchi,mkuu wa serikali,na CinC,is the one and the same person!CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
1977 unasajili Ili iwejeNo 1 ndo usajiri ?
Kumbe ! tutaelewana safari hii1977 unasajili Ili iweje
CCM Nambari One 😄😄
Labda 2050 😃Kumbe ! tutaelewana safari hii