Ni aibu kubwa sana kwa kuandika haya ukiwa kama mmoja wa watu wanaojulikana humu
Ni dhambi kudanganya
Mimi nilikuwepo na nilikuwa kijana wakati wa vita hivyo
Na nikuambie kitu hakuna vita bila mauwaji huo ni uongo
Nina maofisa walioshiriki vita na marafiki zangu pia
Wakati huo sikuwa mbali sana na Bukoba na shule yetu ilitumika kuwaweka wajeda kwa kuwa ilikuwa na facilities zote za kulala na kula
Twende kwenye hoja, waganda zaidi ya 1000 waliuwawa, waliokamatwa 600+ walibya waliuwawa na kutekwa pia na wapalistine waliuwawa wengi pia
Na sisi ndugu zetu walikufa 373 na waliotusaidia pia walikufa wengi
Umeshindwa hata kufanya utafiti kidogo au hata kuuliza wazee humu?
Mambo mengi yalifanyika ya aibu