Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Aug 5, 2019 #1 Wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa wengine ndiyo tulikuwa tunaanza kutumia bidhaa za Tanzania Elimu Supply. Mkienda Saba Saba Grounds ni sehemu ya shopping ya shule hasa kwa dada na kaka zetu.
Wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa wengine ndiyo tulikuwa tunaanza kutumia bidhaa za Tanzania Elimu Supply. Mkienda Saba Saba Grounds ni sehemu ya shopping ya shule hasa kwa dada na kaka zetu.
TCA JF-Expert Member Joined May 13, 2018 Posts 504 Reaction score 835 Aug 5, 2019 #2 Tanzania Elimu supply opposite na picha ya Askari pale Samora,kweli tupo mjini kitambo.