1980s Mikutano ya kimataifa DSM ilifanyikia Kilimanjaro Hotel wageni wote walilala hapo kulikuwa hakunaga kufunga barabara!

1980s Mikutano ya kimataifa DSM ilifanyikia Kilimanjaro Hotel wageni wote walilala hapo kulikuwa hakunaga kufunga barabara!

Ungetaja na mikutano ilyofanyika na pia ulinganishe idadi ya magari miaka 1980 na 2025.Pia ulinganishe idadi ya watu sasa na miaka ya 1980.
USA jiji la New York barabara nyingi zinafungwa wakati wa UN General Assembly kwa sababu za kiusalama.
Viongozi wa nje wanapozuru Nchi yetu maswala ya usalama wao ni kipaumbele.
 
Mkuu miaka Ile DAR tulikuwa wachache Sana nakumbuka foleni ilikuwa hakuna kabisaaa labda mitaa ya posta,mnazi mmoja na kariakoo kidogo.
Wakazi wa DAR walikuwa hawazidi milioni 1
 
Kule Ethiopia wakati wa mikutano ya AU hakuna upuuzi wa kufunga barabara.Unapofunga barabara maana yake huo ugeni unageuka kero na kuua uchumi wa Nchi badala ya kukuza uchumi
 
Wakati wa JK Rais wa Dunia alikuja mara 2

Nakumbuka nikiwa Ilala Boma Kwenye Daladala tulipishana na Rais wa Dunia mh Bush anaelekea Amana tukapungiana mikono ๐Ÿ˜‚
Ku deal na mmja ni simple kuliko wengi.

Mlideki Hadi Barabara
 
Back
Top Bottom