johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mazingira ya miaka 45 iliyopita ni tofauti na ya sasa usiwaone waliofanya hivyo ni wapumbavu.Tunakumbushana tu Kwa wale wahenga
Hii mambo ya kufunga barabara kuna Uchumi wa Watu Wadogo Wadogo unakandamizwa
Dominica Njema π
Ni Kweli hata Chadema siku hizi wako Mikocheni na parking kubwa πMazingira ya miaka 45 iliyopita ni tofauti na ya sasa usiwaone waliofanya hivyo ni wapumbavu.
Sio ufipa tena π πNi Kweli hata Chadema siku hizi wako Mikocheni na parking kubwa π
Una upuuzi mwinginsana JoNi Kweli hata Chadema siku hizi wako Mikocheni na parking kubwa π
Hao ndio watu wa Lissu hao- mihemuko na kuropokaMazingira ya miaka 45 iliyopita ni tofauti na ya sasa usiwaone waliofanya hivyo ni wapumbavu.
johnthebaptist ni mwanaccm lia lia tatizo lake ni mlevimbwa.Hao ndio watu wa Lissu hao- mihemuko na kuropoka
Shuleni kwetu waalimu wametwambia tusiende shule hadi wageni watakapoondokaTunakumbushana tu Kwa wale wahenga
Hii mambo ya kufunga barabara kuna Uchumi wa Watu Wadogo Wadogo unakandamizwa
Dominica Njema π
Hajawahi kuwa take it from mejohnthebaptist ni mwanaccm lia lia tatizo lake ni mlevimbwa.
2015 Lowassa alikataa kuingia office za Chadema Ufipa st akaishia nje ππ€£Sio ufipa tena π π
1977 nilikuwa TYL na tukahamia UVCCM automatically πHajawahi kuwa take it from me
Wangapi? Haijawahi kuwa na Wakuu wa Nchi 25 plus ππTunakumbushana tu Kwa wale wahenga
Hii mambo ya kufunga barabara kuna Uchumi wa Watu Wadogo Wadogo unakandamizwa
Dominica Njema π
Wakati wa JK Rais wa Dunia alikuja mara 2Wangapi? Haijawahi kuwa na Wakuu wa Nchi 25 plus ππ
View: https://www.instagram.com/p/DFR1db6IW51/?igsh=OTBycWZrM3h3MzVn
My Take
Ukimbi wa Samia Complex kule Ikulu ukamulike haraka.
Ku deal na mmja ni simple kuliko wengi.Wakati wa JK Rais wa Dunia alikuja mara 2
Nakumbuka nikiwa Ilala Boma Kwenye Daladala tulipishana na Rais wa Dunia mh Bush anaelekea Amana tukapungiana mikono π