johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Siyo kweli 😀Nani atatuamini tena wakati Mama kaamua kujiunga na Interahamwe huko Kongo.
Nasikia Jeshi letu lilikuwa linapigana alongside FDLR Watu wenye Idiolojia ya kuendelea na Genocide.
Unasikia ila hujathibisha/shiwa/shwa?Nani atatuamini tena wakati Mama kaamua kujiunga na Interahamwe huko Kongo.
Nasikia Jeshi letu lilikuwa linapigana alongside FDLR Watu wenye Idiolojia ya kuendelea na Genocide.
Ali shababu amewaweza?Ndio tulivyotambulika kama Walinzi wa Amani Africa Mashariki Kati na Kusini
Lakini Taratibu namuona Ruto ananyemelea hiyo Fursa mfano Leo kaongea na Marekani na kupewa Maagizo jinsi ya kumalizia migogoro wa DRC na wa Sudan
Tanzania tusikubali 🐼
Amewaweza na Sasa Wasomali wanapata Kitambulisho Cha uraia bila Vetting processAli shababu amewaweza?
kwamba Kenya ndio iwe kisiwa cha amani na wakati haiwezi hata kutatua matatizo yake yenyewe, kweli gentleman?🐒Ndio tulivyotambulika kama Walinzi wa Amani Africa Mashariki Kati na Kusini
Lakini Taratibu namuona Ruto ananyemelea hiyo Fursa mfano Leo kaongea na Marekani na kupewa Maagizo jinsi ya kumalizia migogoro wa DRC na wa Sudan
Tanzania tusikubali 🐼
Tatizo unaongea sana. Jeshi lililopo Haita ni jeshi la police sio KDFUkweli sijajua kipi ni kipi ,,, lakin navyoona mimi nikama jeshi letu yani TPDF linasifika sana ndani ya mipaka ya Tanzania ( kwa watz ) ,,, lakini nje ya mipaka ya Tz habari ni tofauti inaonekana ni jeshi la kawaida tu
Ukiangalia kinachoendelea sasa hivi Congo ,, utaona wa -congo wengi wakishukuru jeshi la south Africa na malawi tu ,,, sasa huwa najiuliza mbona hawaishukuru na Tz ?? Basi naishia kukaa kimya huenda jeshi letu linapiga kazi kimya kimya
Lakin pia ,, ukija upande wa nguvu ,, utaona jeshi la Kenya (KDF )kwa upande wa East Africa linaonekana ndiyo jeshi lenye nguvu zaidi hii imechochewa zaidi na kikosi maalumu cha jeshi la kenya kwenda kwenye operation maalumu ya kusimamia Amani huko haiti nadhani misheni hii imelipa jeshi la kenya extra credit na kufanya nchi kubwa kama marekani kuona kuwa linawez kufanya kitu katika huu mgogoro unaondelea pale Congo unlike their neighbors Tanzania and Uganda who have never done any recognized and successful mission outside their Continent .. hivyo hatuna budi kukubali kuwa Kenya ni giant in East Africa almost in Everything
Mrejesho wa mission ya kenya haiti upo vipi mkuuUkweli sijajua kipi ni kipi ,,, lakin navyoona mimi nikama jeshi letu yani TPDF linasifika sana ndani ya mipaka ya Tanzania ( kwa watz ) ,,, lakini nje ya mipaka ya Tz habari ni tofauti inaonekana ni jeshi la kawaida tu
Ukiangalia kinachoendelea sasa hivi Congo ,, utaona wa -congo wengi wakishukuru jeshi la south Africa na malawi tu ,,, sasa huwa najiuliza mbona hawaishukuru na Tz ?? Basi naishia kukaa kimya huenda jeshi letu linapiga kazi kimya kimya
Lakin pia ,, ukija upande wa nguvu ,, utaona jeshi la Kenya (KDF )kwa upande wa East Africa linaonekana ndiyo jeshi lenye nguvu zaidi hii imechochewa zaidi na kikosi maalumu cha jeshi la kenya kwenda kwenye operation maalumu ya kusimamia Amani huko haiti nadhani misheni hii imelipa jeshi la kenya extra credit na kufanya nchi kubwa kama marekani kuona kuwa linawez kufanya kitu katika huu mgogoro unaondelea pale Congo unlike their neighbors Tanzania and Uganda who have never done any recognized and successful mission outside their Continent .. hivyo hatuna budi kukubali kuwa Kenya ni giant in East Africa almost in Everything
Jeshi la Kenya ni la kawaida sana Sidhani limewahi Kushinda Vita yoyoteUkweli sijajua kipi ni kipi ,,, lakin navyoona mimi nikama jeshi letu yani TPDF linasifika sana ndani ya mipaka ya Tanzania ( kwa watz ) ,,, lakini nje ya mipaka ya Tz habari ni tofauti inaonekana ni jeshi la kawaida tu
Ukiangalia kinachoendelea sasa hivi Congo ,, utaona wa -congo wengi wakishukuru jeshi la south Africa na malawi tu ,,, sasa huwa najiuliza mbona hawaishukuru na Tz ?? Basi naishia kukaa kimya huenda jeshi letu linapiga kazi kimya kimya
Lakin pia ,, ukija upande wa nguvu ,, utaona jeshi la Kenya (KDF )kwa upande wa East Africa linaonekana ndiyo jeshi lenye nguvu zaidi hii imechochewa zaidi na kikosi maalumu cha jeshi la kenya kwenda kwenye operation maalumu ya kusimamia Amani huko haiti nadhani misheni hii imelipa jeshi la kenya extra credit na kufanya nchi kubwa kama marekani kuona kuwa linawez kufanya kitu katika huu mgogoro unaondelea pale Congo unlike their neighbors Tanzania and Uganda who have never done any recognized and successful mission outside their Continent .. hivyo hatuna budi kukubali kuwa Kenya ni giant in East Africa almost in Everything
Acha ucenge wewe,mnduku nini!Nani atatuamini tena wakati Mama kaamua kujiunga na Interahamwe huko Kongo.
Nasikia Jeshi letu lilikuwa linapigana alongside FDLR Watu wenye Idiolojia ya kuendelea na Genocide.
Unaongea togwa tu,kdf imeenda lini haiti!?..jwtz ni kwa ajili ya kulinda mipaka ya tz,kama jeshi lenu zuri kaeni nalo huko kwenuUkweli sijajua kipi ni kipi ,,, lakin navyoona mimi nikama jeshi letu yani TPDF linasifika sana ndani ya mipaka ya Tanzania ( kwa watz ) ,,, lakini nje ya mipaka ya Tz habari ni tofauti inaonekana ni jeshi la kawaida tu
Ukiangalia kinachoendelea sasa hivi Congo ,, utaona wa -congo wengi wakishukuru jeshi la south Africa na malawi tu ,,, sasa huwa najiuliza mbona hawaishukuru na Tz ?? Basi naishia kukaa kimya huenda jeshi letu linapiga kazi kimya kimya
Lakin pia ,, ukija upande wa nguvu ,, utaona jeshi la Kenya (KDF )kwa upande wa East Africa linaonekana ndiyo jeshi lenye nguvu zaidi hii imechochewa zaidi na kikosi maalumu cha jeshi la kenya kwenda kwenye operation maalumu ya kusimamia Amani huko haiti nadhani misheni hii imelipa jeshi la kenya extra credit na kufanya nchi kubwa kama marekani kuona kuwa linawez kufanya kitu katika huu mgogoro unaondelea pale Congo unlike their neighbors Tanzania and Uganda who have never done any recognized and successful mission outside their Continent .. hivyo hatuna budi kukubali kuwa Kenya ni giant in East Africa almost in Everything
Kuna kitu cha muhimu sana ambacho sikubaliani na mentality yako na kama fikra hizi ndio majority ya watu wa Afrika basi safari bado ni ndefu au kizazi hiki hakiwezi kuwa ndio cha ukombozi....Ndio tulivyotambulika kama Walinzi wa Amani Africa Mashariki Kati na Kusini
Lakini Taratibu namuona Ruto ananyemelea hiyo Fursa mfano Leo kaongea na Marekani na kupewa Maagizo jinsi ya kumalizia migogoro wa DRC na wa Sudan
Tanzania tusikubali 🐼
Haya 🐼Kuna kitu cha muhimu sana ambacho sikubaliani na mentality yako na kama fikra hizi ndio majority ya watu wa Afrika basi safari bado ni ndefu au kizazi hiki hakiwezi kuwa ndio cha ukombozi....
Moja Tanzania tuliheshimika sababu ya kusimamia Haki, na sisi kuwa mfano wa kuigwa (wamoja) hatukutetea sababu ya kupewa faranga au kuogopa au sababu nani kasema bali sababu wapi kuona uonevu...
Mbili unaongelea Marekani kama ndio mkombozi wakatu arguably naweza kusema yeye (CIA, Belgium na kibaraka wao Mobutu) ndio walileta muendelezo huu wa mpaka leo wa kumuua Lumumba..., who might have known what the future would have hold...
Pili yaani USA ndio atoe maagizo kuhusu Amani yetu sisi huku badala ya sisi ndio tutoe maagizo ya nini tuhahitaji au tusaidiane ?
Kweli safari bado ni ndefu na kitachohitajika sio silaha bali emancipation ya mental slavery....