1980s Ualimu walipelekwa Wanafunzi waliofeli, huo utaratibu bado Upo?

1980s Ualimu walipelekwa Wanafunzi waliofeli, huo utaratibu bado Upo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Zamani zile Ualimu ilikuwa Ndio KADA ya Mwisho kabisa Kitaaluma

Ningependa kujua kwa Sasa Hali Ikoje?

Wale Walimu wa Vodafasta bado wapo?

Ni hilo tu
 
Zamani zile Ualimu ilikuwa Ndio KADA ya Mwisho kabisa Kitaaluma

Ningependa kujua kwa Sasa Hali Ikoje?

Wale Walimu wa Vodafasta bado wapo?

Ni hilo tu
Siku hizi hata kama una PhD,
Hiyo ni document yako.
Kupata ajira ya ualimu kuna masharti matatu ya nguvu:-
1) umahiri wako
2) nani anayekujua
3) nani Unayemjua
 
Back
Top Bottom