1992 tulitakiwa tuanze na Vyama vingi vya Siasa au tulipaswa kutengeneza Katiba Mpya kwanza?

1992 tulitakiwa tuanze na Vyama vingi vya Siasa au tulipaswa kutengeneza Katiba Mpya kwanza?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kama nakumbuka vizuri Vuguvugu lililokuwepo 1980s la hawa Nccr na Kamahuru lilikuwa ni la kudai Katiba Mpya kwanza ambayo ndani yake ndio itaruhusu mfumo wa Vyama vingi Vya Siasa.

Lakini Nyerere akawa mjanja zaidi akatuletea Vyama vingi kwanza.

Nimejiuliza hili swali baada ya kumsoma Dkt. Ananilea Nkya huko twitani aliyema Tuna Mfumo wa Vyama vingi Vya Siasa lakini Katiba ni ya Chama Kimoja

Na kwa hali Hiyo siyo rahisi kuipata Katiba Mpya tena

Mlale Unono 😀😀
 
Back
Top Bottom