1993 waliahidiwa kia tukabondwa 2023 kila mchezaji mil 60 mambo si mambo

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Hivi haiwezekani kucheza bila ahadi.hiz ahadi huvuruga Sana wachezaji hupanga hesabu zao za matumizi na kusahau Kaz yao uwanjan

Pia suala la wanasiasa liangaliwe nalo



Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks
 
Kufungwa ni kufungwa tu mbona msimu huu SIMBA SC haikupewa ahadi na ikatolewa? Ukweli usemwe kuwa YANGA SC njia yake ilikuwa nyepesi na hajapata kashkash zozote hadi amefika fainali.
 
Mtu mwenye akili timamu na anaejua mpira anajua kabisa Wananchi safari iliishia nusu fainali. Hawa Waarab tena leo hawajacheza level Yao. Hata wangekuja wale Mimosas wangebeba kombe. Ukiangalia safari ya Yanga kote alikopita ilikuwa ni bahati tu iliwabeba kukutana na tim ambazo msimu huu haziko sawa km T-Mazembe, vinginevyo leo tungekuwa tumemaliza ligi ya NBC
 
Mmeanza tena!!! Unadhan walioweka home and away ni wajinga?
 
We ulivyokutana na Namungo na Azam kashkash zilikuwa kubwa?
 
Mmeanza tena!!! Unadhan walioweka home and away ni wajinga?
Yani leo yaacheni Mbumbumbu yaongee weee na kupiga mayowe maana hayana akili kabisa, badala yawe na vifua kama Me kuamini bado dakika 90 za ugenini awamu ya pili yameshaanza kuhemukwa kama fyuzi zimekatika kwenye bongo zao [emoji23]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Vyura watakwambia Simba haijacheza fainali hata moja ya kombe hili. Mtu anaahidi KIA, na hata baada ya kushindwa akatoa Corola, michuano hiyo ilikuwa midogo? Uto wnajitoaga ufahamu sana.
 
Maandalizi ya ubingwa na kugawana zawadi kabla ya wakati ndo yamewaponza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…