Mkuu ongeza hiyo 50k iwe 200k tumalize biashara. Nakuuzia ikiwa full tank lita 6 unaenda kuwasha tu na kuanza kaziMkuu kama ikikupendeza laki na nusu nakupa
Kaka mafuta yatoe yatalipuka njiani we fanya tu hiyo 150k nije kulichukua niko seriousMkuu ongeza hiyo 50k iwe 200k tumalize biashara. Nakuuzia ikiwa full tank lita 6 unaenda kuwasha tu na kuanza kazi
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Duh! Unauwa BossKaka mafuta yatoe yatalipuka njiani we fanya tu hiyo 150k nije kulichukua niko serious
Msiniambie Bi Mikopo katufikisha huku!Kaka mafuta yatoe yatalipuka njiani we fanya tu hiyo 150k nije kulichukua niko serious
Generator bado ipo?Habari wakuu,
Nauza Petrol Generator ndogo 1kw, aina ya Boss. Generator limetumika miezi minne tu, nauza sababu load imeongezeka so nahitaji Generator yenye uwezo mkubwa zaidi.
Bei Tzs 200,000/= cash
Location: Bunju B
Mawasiliano: 0785670266/0756087894
Karibuni sana
View attachment 2118556
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app