habarini wakuu, nataka kuuziwa gari toyota hiace ya 1kz engine ambayo nitaifanya daladala, je hii injini inafaa? make nimezoea kusikia 5L, 3L, nk. msaada wadau
1KZ hiyo engine ndio ipo kwenye toyota Hilux 3.0 TD au zingine zinaandikwa 1KZ..KZTE au 1 KD zingine ni Turbo Engine na zingine hazina turbo za diesel..hizo ni moja ya engine bora za Toyota zile pick up Hilux ngumu nyingi zina engine hiyo..sasa sijajua hiyo unayotaka kununua milege zake au uchakavu wa hiyo gari kujua kuna ubora au laa maana tatizo la engine nyingi ni kutopata matunzo bora haya ikiwa bora itaonekana ya kawaida tuu..