Habarini?
Naomba kuuliza utofauti wa aina hizo mbili za injini linapokuja suala la uvumilivu, spea, matumizi ya mafuta, speed na gharama zake (bei) ya kununua complete used lakini inayo jielewa. Na kipi bora kuifungia mfumo wa carburetor au injection. Wataalamu na mafundi msaada wenu kwa hili.
Uzi tayari